Naomba ushauri, kila nikipanga mipango haitimii

Pamoja na hayo lakini maisha siyo kurelax, maisha ni vita kila siku, unapopitia huko unajifunza kuwa mgumu siku za mbeleni kwa sababu hakika hakuna atakayekuja kukuambia fanya hivi ama vile, Wewe mwenyewe ndio dereva wa maisha yako, hivyo usimpe mtu mwingine akuendeshee maisha yako. Unayo nafasi ya kuchagua, Muweke Mungu kila hatua unayopiga, hata kama umepoteza hio pia ni hatua maana wakati mwingine hutarudia kosa kama ulilowahi kufanya siku za nyuma.
Jiamini hakuna mamlaka yeyote ya kipepo yenye itakayofakiwa kuvuruga maisha yako ikiwa unamuamini Mungu wa Mbinguni.
 
Mpigie magoti, mlilie machozi Muumba wako.. kuna mahala hapako sawa either kwako wewe ama kwenye ukoo wenu..

Yaonekana umebeba laana either za kwako ama za kurithi...

Sali sana, funga na kuomba kwa wiki kadhaa mlilie Mungu wako utafunguliwa.

Hakuna dhambi ama laana inayomshinda mwana wa Adamu - haipo; ile damu ilimaliza yote believe me.
 
Hana haja ya kuwa kuwa na Mipango mingi anatakiwa kuwa na mpango mmoja tu. na huo mpango peke yake ndie awe mtekelezaji akishirikiana na Mungu tu

Anatakiwa kushirikisha wengine mbele Sana akiwa amekomaa tayari na mpango wake Ukiwa umefanikiwa Kama anahitaji mipango mingine lakini huo mmoja aliofanikiwa unakuwa tayari uko kibindoni
 
Shida uliyonayo ni ya kiroho zaidi kwani hiyo kuota upo shule ya msingi ni stagnation kama walivyosema.Kwenda Kwa sangoma ni kosa jingine kwani hujatibiwa umeongezewa matatizo kwani jini au pepo hamtoi mwenzie. Chanzo Cha tatizo ni vitu mchanganyiko unahitaji upate madhabahu yenye nguvu na uweze kuamini na kuuacha uchafu unaoufanya ili upate deliverance.Angalizo maombi ya Kiislam hayatakusadia

Shida uliyonayo ni ya kiroho zaidi kwani hiyo kuota upo shule ya msingi ni stagnation kama walivyosema.Kwenda Kwa sangoma ni kosa jingine kwani hujatibiwa umeongezewa matatizo kwani jini au pepo hamtoi mwenzie. Chanzo Cha tatizo ni vitu mchanganyiko unahitaji upate madhabahu yenye nguvu na uweze kuamini na kuuacha uchafu unaoufanya ili upate deliverance.Angalizo maombi ya Kiislam hayatakusadia.
Usimpotoshe Kama unataka ...kusema aende kwa mchungaji gani akaombe ???
Mtaje hapa tumjue...aende akasomewe Ruqya kwa mtu mwenye kaliba atakuja kunishukuru..
 
Kimbilia kwa mungu pata maombezu mazito
 
Pamoja na hayo lakini maisha siyo kurelax, maisha ni vita kila siku, unapopitia huko unajifunza kuwa mgumu siku za mbeleni kwa sababu hakika hakuna atakayekuja kukuambia fanya hivi ama vile, Wewe mwenyewe ndio dereva wa maisha yako, hivyo usimpe mtu mwingine akuendeshee maisha yako. Unayo nafasi ya kuchagua, Muweke Mungu kila hatua unayopiga, hata kama umepoteza hio pia ni hatua maana wakati mwingine hutarudia kosa kama ulilowahi kufanya siku za nyuma.
Jiamini hakuna mamlaka yeyote ya kipepo yenye itakayofakiwa kuvuruga maisha yako ikiwa unamuamini Mungu wa Mbinguni.
Ahsante sana bro kwa ushauri wako
 
Mpigie magoti, mlilie machozi Muumba wako.. kuna mahala hapako sawa either kwako wewe ama kwenye ukoo wenu..

Yaonekana umebeba laana either za kwako ama za kurithi...

Sali sana, funga na kuomba kwa wiki kadhaa mlilie Mungu wako utafunguliwa.

Hakuna dhambi ama laana inayomshinda mwana wa Adamu - haipo.
Ahsante sana kwa ushauri
 
Habari za muda ndugu zangu.
Hope weekend yenu imekaa njema
Wacha nisipoteze muda niingie kwenye mada.

Mimi ni kijana ambae nimekuwa nikihangaika sana kwenye mambo yangu lakini huwa sifanikiwi inshort huwa nina mipango mizuri mno lakini haijawahi kufanikiwa, unaweza kuongea na mtu akakuahidi jambo fulani ila mwisho wa siku atakuja kukukataa tu.

Yaani Jambo nalianza vizuri but mwisho wa siku huwa ni kufeli tu mpaka huwa najiuliza huwa nina mkosi gani, hata kwenye mahusiano nimekuwa ni mtu wa kuhangaika tu. Maana sijawahi kutulia kwenye mahusiano na mtu hata kwa mwezi mmoja.

Kuna mtu akaja kunishauri niende kwa wataalamu basi nikaenda kwa mtaalamu mmoja akaniambia nyota yangu imechukuliwa ndio maana kila nalofanya haliendi.

Nikamuuliza bei akaniambia nimpe 120k, nikampa hiyo hela akanipa madawa nikaogea nikamaliza but sikuona mabadiliko mpaka sasa mambo yangu bado magumu halafu mara nyingi huwa ninasumbuliwa na ndoto za kuwa shuleni tena primary na classmate wangu niliomaliza nao kitambo kile. Sasa sijui nina shida gani ndugu zangu naombeni ushauri nini nifanye ili mipango yangu iweze kwenda maana naona kama nina nuksi.
Hujiamini, ndio maana pamoja na mipango mizuri yote unayopanga huifanikishi au kuianza kwa hofu kuwa hutaiweza. Elimu ulio nayo unaiona ni ndogo, unajishusha sawa na wa shule ya msingi. Hata kwenda kwa waganga sababu ni kutojiamini. Unakuwa tegemezi hata kimawazo kwenye mahusiano na mapema unahisi hupati unachotaka una toka. Kaa chini ujitafakari, usiingie kwenye mahusiano kwa haraka, chunguza kwanza ili kujua yupi ana mawazo endelevu.
 
Waganga matapeli tu mkuu, we focus na mambo zako ipo siku utatoboa.

Ukienda kwa mganga huwa shida haziishi, ukimaliza kufungua nyota utaambiwa jirani anakuroga,
Mganga ni mtafutaji tu kama wengine, kwa kutumia ujanja kuichota akili iliotibuka.
 
Habari za muda ndugu zangu.
Hope weekend yenu imekaa njema
Wacha nisipoteze muda niingie kwenye mada.

Mimi ni kijana ambae nimekuwa nikihangaika sana kwenye mambo yangu lakini huwa sifanikiwi inshort huwa nina mipango mizuri mno lakini haijawahi kufanikiwa, unaweza kuongea na mtu akakuahidi jambo fulani ila mwisho wa siku atakuja kukukataa tu.

Yaani Jambo nalianza vizuri but mwisho wa siku huwa ni kufeli tu mpaka huwa najiuliza huwa nina mkosi gani, hata kwenye mahusiano nimekuwa ni mtu wa kuhangaika tu. Maana sijawahi kutulia kwenye mahusiano na mtu hata kwa mwezi mmoja.

Kuna mtu akaja kunishauri niende kwa wataalamu basi nikaenda kwa mtaalamu mmoja akaniambia nyota yangu imechukuliwa ndio maana kila nalofanya haliendi.

Nikamuuliza bei akaniambia nimpe 120k, nikampa hiyo hela akanipa madawa nikaogea nikamaliza but sikuona mabadiliko mpaka sasa mambo yangu bado magumu halafu mara nyingi huwa ninasumbuliwa na ndoto za kuwa shuleni tena primary na classmate wangu niliomaliza nao kitambo kile. Sasa sijui nina shida gani ndugu zangu naombeni ushauri nini nifanye ili mipango yangu iweze kwenda maana naona kama nina nuksi.
KWENDA KWA MGANGA NI KUMKABIDHI shetani MAISHA YAKO.

MUOMBE MUNGU TOBA, MWAMBIE UMEMKOSEA YEYE ALIYE PEKEYAKE MKUU NA MTAKATIFU... Kisha Muombe Akufanikishe katika njia zako.

Kiufupi kaka upo kwenye vita kubwa sana, ila Mungu bado anakupenda ndio maana unapata hizo ndoto za kukuonyesha upo shule.. na bado leo amekupa neema ya kukutana na ujumbe huu.

Wewe tubu kwanza na uirejeze nafsi yako mikononi mwa Mungu? Maana kwa sasa unamilikiwa na ufalme wa giza. Tubuuuuuuuuuu
 
Hujiamini, ndio maana pamoja na mipango mizuri yote unayopanga huifanikishi au kuianza kwa hofu kuwa hutaiweza. Elimu ulio nayo unaiona ni ndogo, unajishusha sawa na wa shule ya msingi. Hata kwenda kwa waganga sababu ni kutojiamini. Unakuwa tegemezi hata kimawazo kwenye mahusiano na mapema unahisi hupati unachotaka una toka. Kaa chini ujitafakari, usiingie kwenye mahusiano kwa haraka, chunguza kwanza ili kujua yupi ana mawazo endelevu.
Ahsante sana kaka
 
Back
Top Bottom