Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,546
- 6,502
- Thread starter
- #61
Ahsante kwa ushauri wako mzuri
KWENDA KWA MGANGA NI KUMKABIDHI shetani MAISHA YAKO.
MUOMBE MUNGU TOBA, MWAMBIE UMEMKOSEA YEYE ALIYE PEKEYAKE MKUU NA MTAKATIFU... Kisha Muombe Akufanikishe katika njia zako.
Kiufupi kaka upo kwenye vita kubwa sana, ila Mungu bado anakupenda ndio maana unapata hizo ndoto za kukuonyesha upo shule.. na bado leo amekupa neema ya kukutana na ujumbe huu.
Wewe tubu kwanza na uirejeze nafsi yako mikononi mwa Mungu? Maana kwa sasa unamilikiwa na ufalme wa giza. Tubuuuuuuuuuu

