Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Nakuja pm hapa wanga wengi....šUkinielezea lifestyle yako unaishije naweza kujua tatizo,huwa unaenda mkoani kwenu kutambika?unafanya ibada?ni mlevi au mzinzi?hizo ndio sababu kuu na ya mwisho ni wachawi tu kukuandama
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app