Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,648
- 6,692
- Thread starter
-
- #61
KWENDA KWA MGANGA NI KUMKABIDHI shetani MAISHA YAKO.
MUOMBE MUNGU TOBA, MWAMBIE UMEMKOSEA YEYE ALIYE PEKEYAKE MKUU NA MTAKATIFU... Kisha Muombe Akufanikishe katika njia zako.
Kiufupi kaka upo kwenye vita kubwa sana, ila Mungu bado anakupenda ndio maana unapata hizo ndoto za kukuonyesha upo shule.. na bado leo amekupa neema ya kukutana na ujumbe huu.
Wewe tubu kwanza na uirejeze nafsi yako mikononi mwa Mungu? Maana kwa sasa unamilikiwa na ufalme wa giza. Tubuuuuuuuuuu
Nilikuwa na tatizo kama lako sasa nimeshakuelewa kinachokusumbua.Habari za muda ndugu zangu.
Hope weekend yenu imekaa njema
Wacha nisipoteze muda niingie kwenye mada.
Mimi ni kijana ambae nimekuwa nikihangaika sana kwenye mambo yangu lakini huwa sifanikiwi inshort huwa nina mipango mizuri mno lakini haijawahi kufanikiwa, unaweza kuongea na mtu akakuahidi jambo fulani ila mwisho wa siku atakuja kukukataa tu.
Yaani Jambo nalianza vizuri but mwisho wa siku huwa ni kufeli tu mpaka huwa najiuliza huwa nina mkosi gani, hata kwenye mahusiano nimekuwa ni mtu wa kuhangaika tu. Maana sijawahi kutulia kwenye mahusiano na mtu hata kwa mwezi mmoja.
Kuna mtu akaja kunishauri niende kwa wataalamu basi nikaenda kwa mtaalamu mmoja akaniambia nyota yangu imechukuliwa ndio maana kila nalofanya haliendi.
Nikamuuliza bei akaniambia nimpe 120k, nikampa hiyo hela akanipa madawa nikaogea nikamaliza but sikuona mabadiliko mpaka sasa mambo yangu bado magumu halafu mara nyingi huwa ninasumbuliwa na ndoto za kuwa shuleni tena primary na classmate wangu niliomaliza nao kitambo kile. Sasa sijui nina shida gani ndugu zangu naombeni ushauri nini nifanye ili mipango yangu iweze kwenda maana naona kama nina nuksi.
Hiyo ndoto mara nyingi huwa wanaota watu wanaotawaliwa na mashetani au mizimuMi naona kawaida tu kwakweli, I just thank God....
Ila huwa natamani kuelewa maana ya hii ndoto, kuota mara kwa mara nipo shule.
Wewe ni mwalimu ,sasa unashangaaje kuota ukiwa shule ?Mi naona kawaida tu kwakweli, I just thank God....
Ila huwa natamani kuelewa maana ya hii ndoto, kuota mara kwa mara nipo shule.
Hamna ni zaidi ya hivyo, huwa naota mimi ni mwanafunzi niko na watu niliosoma naoWewe ni mwalimu ,sasa unashangaaje kuota ukiwa shule ?
Kuna mti mwingine unaitwa kivumbasi ule majani yake hutumika kama dawa ya mbu pia hutumika kwa kazi ya kusafisha nyota.don't underestimate the power of salt, especially stone salt (kidding), namaanisha chumvi ya mabonge.
Halafu kuna mti mmoja siufaham jina, kesho nikikumbuka nitapiga picha nipost maana upo hapa hapa ninapoishi. Mzizi wake noma kwa kusafisha nyota.
WAFIA DINI TAFADHALI PITENI KIMYA KIMYA
Doh!!! Yani ukiwa masikini hadi mapepo nayo yanakufata fataHiyo ndoto mara nyingi huwa wanaota watu wanaotawaliwa na mashetani au mizimu
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Mkuu bado sio dawa,kuna wengine huwa wana mikwara sana ukifika anakwambia mimi sitaji gharama siruhusiwi na mizimu yangu lakini ukishatibiwa ukiondoka shida inarudi tenaPale unapoamua kwenda kwa kalumanzila principle kuu ni kwamba bei atakayokutajia mwambie wewe una robo ya hiyo pesa mfano wewe aliposema laki na ishirini ungempa elfu 30 na nyingine mwambie baadae. Akikwambia hata nusu sipokei basi jiondokee huyo ni Tapeli tuu...
Yawezekana unawakumbuka sana. Ila kama unaota watu ambao hukua hata na mazoea nayo hilo ni tatizo.Hamna ni zaidi ya hivyo, huwa naota mimi ni mwanafunzi niko na watu niliosoma nao
No muda mwingine unaweza kujiona masikini lakini kumbe hukutakiwa kuwa maskini kuna vitu vinazuia utajiri wakoDoh!!! Yani ukiwa masikini hadi mapepo nayo yanakufata fata
Kuchanganya wanawake pia ni sababu mojawapo ya kukumbwa na mapepo au nuksi na ndio maana nahitaji kupata background ya mtoa mada nijue ni wapi anaangukiaJam
Jambo moja tu acha zinaa utatoboa,zinaa inaleta ufakiri. Kama huna mke fanya uoe na maisha yako hayo hayo utakuja kuishukuru Siku moja.
Ooohhh hallelujah!!! Ni kweli usemalo 😁No muda mwingine unaweza kujiona masikini lakini kumbe hukutakiwa kuwa maskini kuna vitu vinazuia utajiri wako
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Kwa mganga tiba huwa aiishi unageuzwa mtejaWaganga matapeli tu mkuu, we focus na mambo zako ipo siku utatoboa.
Ukienda kwa mganga huwa shida haziishi, ukimaliza kufungua nyota utaambiwa jirani anakuroga,
Ukiona unatumia input kubwa sana kupambana halafu output yake ni kidogo sana hapo lazima ujiulize mara mbili mbili,dunia haiko fairOoohhh hallelujah!!! Ni kweli usemalo [emoji16]
Itakua niliumbwa niwe tajiri kuna vitu havijakaa sawa nadhani, mfano nikitembea juani naumwa kichwa sana hadi huwa nahisi sikutakiwa kuwa masikini mimi [emoji23][emoji23]
Sidhani, ila huwa nahisi ni ndoto ambayo ina ujumbe ndani yake ila ndio sijawahi kuelewa....na siku nikielewa sitaiota tenaYawezekana unawakumbuka sana. Ila kama unaota watu ambao hukua hata na mazoea nayo hilo ni tatizo.
Ukinielezea lifestyle yako unaishije naweza kujua tatizo,huwa unaenda mkoani kwenu kutambika?unafanya ibada?ni mlevi au mzinzi?hizo ndio sababu kuu na ya mwisho ni wachawi tu kukuandamaSidhani, ila huwa nahisi ni ndoto ambayo ina ujumbe ndani yake ila ndio sijawahi kuelewa....na siku nikielewa sitaiota tena
Kusafisha kama kuwakumbuka na sio kama ibada.Kasafishe makaburi ya mababu zako haraka sana. Utakuja kunishukuru baadae.
Usione sisi tunarudi nyumbani kila disemba alafu mambo yetu yananyooka.
Soma sana ,sali sana lakini baadhi ya mila na desturi usiache kamwe.
True mwafrika huwa apendi kuona mwingine kafanikiwaNo muda mwingine unaweza kujiona masikini lakini kumbe hukutakiwa kuwa maskini kuna vitu vinazuia utajiri wako
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app