Hapana sijakwambia mm, check tena vizuriLakini umeniambia nikuchek pm mkuu
Ni kweli mkuu nulichanganyaHapana sijakwambia mm, check tena vizuri
Bac vzr mkuu kama wewe mambo yako yanaendaMi naona kawaida tu kwakweli, I just thank God....
Ila huwa natamani kuelewa maana ya hii ndoto, kuota mara kwa mara nipo shule.
Pale unapoamua kwenda kwa kalumanzila principle kuu ni kwamba bei atakayokutajia mwambie wewe una robo ya hiyo pesa mfano wewe aliposema laki na ishirini ungempa elfu 30 na nyingine mwambie baadae. Akikwambia hata nusu sipokei basi jiondokee huyo ni Tapeli tuu...Habari za muda ndugu zangu.
Hope weekend yenu imekaa njema
Wacha nisipoteze muda niingie kwenye mada.
Mimi ni kijana ambae nimekuwa nikihangaika sana kwenye mambo yangu lakini huwa sifanikiwi ishort huwa nina mipango mizuri mno lakini aijawahi kufanikiwa unaweza kuongea na mtu akakuahidi jambo fulani ila mwisho wa siku atakuja kukukataa tu.
Yani Jambo nalianza vizuri but mwisho wa siku huwa ni kufeli tu mpaka huwa najiuliza huwa nina mkosi gani, hata kwenye mahusiano nimekuwa ni mtu wa kuhangaika tu. Maana sijawahi kutulia kwenye mahusiano na mtu hata kwa mwezi mmoja.
Kuna mtu akaja kunishauri niende kwa wataalamu basi nikaenda kwa mtaalamu mmoja akaniambia nyota yangu imechukuliwa ndio maana kila nalofanya aliendi.
Nikamuuliza bei akaniambia nimpe 120k, nikampa hiyo ela akanipa madawa nikaogea nikamaliza but sikuona mabadiliko mpaka sasa mambo yangu bado magumu halafu mara nyingi huwa ninasumbuliwa na ndoto za kuwa shuleni tena primary na classmate wangu niliomaliza nao kitambo kile. Sasa sijui nina shida gani ndugu zangu naombeni ushauri nini nifanye ili mipango yangu iweze kwenda maana naona kama nina nuksi.
Sasa utanisaidiaje mkuuWamekubebea nyota mzee. Tatizo ni kumpata mtaalamu wa kweli wa kukutatulia tatzo lako.
Skuhz wengi ni matapeli.
Ebu jitahidi kaka unitumie huo mtidon't underestimate the power of salt, especially stone salt (kidding), namaanisha chumvi ya mabonge.
Halafu kuna mti mmoja siufaham jina, kesho nikikumbuka nitapiga picha nipost maana upo hapa hapa ninapoishi. Mzizi wake noma kwa kusafisha nyota.
WAFIA DINI TAFADHALI PITENI KIMYA KIMYA
Fanya maombi kwa imani yako tunza mipango yako iwe siri sio kuadithia watu .Hizo ndoto ni ishara utarudi chini kiuchumi.Hapo kwenye ndoto....sijui maana yake nini. Nami naota sanaaa mara kwa mara nipo shule yani katika siku 7 basi 5 naota nipo shule. Tusubiri wataalamu
Pole kwa yanayokusibu
Unapoteza maboya huyo anakufix,humu JF kuna watu wana utani acha kuamini miti na waganga.Ebu jitahidi kaka unitumie huo mti
Siku zote ndoto ni mawazo yako unayowaza au mambo unayoyaona katika maisha yako, ukiona video ya kichawi utaota hivyo hivyo. Achana na fikra potofu.Kuna mahala niliwahi kusoma "Ukiwa unaota upo shuleni na ili hali ulishamaliza shule kitambo sana,kuna asilimia kubwa ya kiashiria cha kurudishwa nyuma katika mambo yako unayofanya hasa ya kimaendeleo". Kurudishwa uko nyuma kuna chagizwa hasa na nguvu za giza, kila la kheri mkuu!!
Mkuu yupo mchungaji mmoja namfatilia kama akikaa vizuri nitakuunganisha naeEbu jitahidi kaka unitumie huo mti
Msaidie hapa hapa hadharani kama ambavyo yeye amezungumza hadharani,ili kutoa faida kwa wengineNjoo pm mkuu nikusaidie
Jambo moja tu acha zinaa utatoboa,zinaa inaleta ufakiri. Kama huna mke fanya uoe na maisha yako hayo hayo utakuja kuishukuru Siku moja.Habari za muda ndugu zangu.
Hope weekend yenu imekaa njema
Wacha nisipoteze muda niingie kwenye mada.
Mimi ni kijana ambae nimekuwa nikihangaika sana kwenye mambo yangu lakini huwa sifanikiwi inshort huwa nina mipango mizuri mno lakini haijawahi kufanikiwa, unaweza kuongea na mtu akakuahidi jambo fulani ila mwisho wa siku atakuja kukukataa tu.
Yaani Jambo nalianza vizuri but mwisho wa siku huwa ni kufeli tu mpaka huwa najiuliza huwa nina mkosi gani, hata kwenye mahusiano nimekuwa ni mtu wa kuhangaika tu. Maana sijawahi kutulia kwenye mahusiano na mtu hata kwa mwezi mmoja.
Kuna mtu akaja kunishauri niende kwa wataalamu basi nikaenda kwa mtaalamu mmoja akaniambia nyota yangu imechukuliwa ndio maana kila nalofanya haliendi.
Nikamuuliza bei akaniambia nimpe 120k, nikampa hiyo hela akanipa madawa nikaogea nikamaliza but sikuona mabadiliko mpaka sasa mambo yangu bado magumu halafu mara nyingi huwa ninasumbuliwa na ndoto za kuwa shuleni tena primary na classmate wangu niliomaliza nao kitambo kile. Sasa sijui nina shida gani ndugu zangu naombeni ushauri nini nifanye ili mipango yangu iweze kwenda maana naona kama nina nuksi.
Nenda kwa wanasaikolojia achana na waganga..mtafute hata joel nnanauka tu kwakuanzia...hizo ndoto ni kwasababu akili yako imestack hapo haiendi mbele wala nyuma..poleHabari za muda ndugu zangu.