The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,010
- 4,202
Dunia hii inastajabisha sana, yani wakati wenzako wanarudi wewe ndio kwanza wataka kwenda walipotoka na unaona kabisa ni hatari...Kula sana vyakula vyenye viwango vingi vya protini. Nyama ya ng’ombe, kuku, kitimoto, samaki, mayai meupe, na kama unaweza, kunywa protein shakes.
Mpe namba ya msechu atamsaidi kufika huko msechu alipo