Naomba ushauri juu ya dawa za kuongeza mwili

Niliwahi kuleta humu mada ya aina hii miaka kama 4 iliyopita ila nilichojifunza ni kwamba ukiona umekondeana sana ongeza bidii ya kutafta hela bro,

Pesa inaleta mwili zaidi ya hizo mavidonge, tena mwili wa pesa unakuja na heshima juu utaitwa boss,ila mwil wa umaskini tutakwita Bonge [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
1699956863536.jpg
20231202_175056.jpg
 
haumwi magonjwa ya tumbo i.e typhoid amoeba, vidonda,

huna stress nyingi?

unakula mlo kamili

𝐀𝐧𝐲 𝐰𝐚𝐲 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐤𝐮𝐧𝐝𝐢 𝐡𝐚𝐲𝐚 𝐲𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮
a. Mesomorph b. Ectomorph. C. Endomorph

ingia google utajua upo kundi gani yote kwa pamoja huitwa 𝒔𝒆𝒎𝒂𝒕𝒐𝒕𝒚𝒑𝒆

pia kundi lako la damu ni lipi? njoo pm kwa maelezo zaidi
 
Uwe unafanya vipimo vya afya mara kwa mara. Kuna maradhi yakiwa mwilini hata ule vipi haunenepi ni kukonda tu.

Sema hamna mtu mwembamba kuna siku utanenepa tu. Mimi nilikuwa mwembambaa hadi sio poa ila nilivyoanza kufumuka hata niliosoma nao chuo wananiulizaga nimechoma sindano au vipi maana sikuwa na dalili ya kupata mwili siku moja
kweli au
 
Ngoja nisome na mimi, wahanga ni wengi.

Mimi Suruali ni 31, mpk sio poa.
Japo mimi nipo stable, sishuki wala kupanda, nimezoeleka kwa mwili huu tangu tuu nilipoanza Advance.

Hii imekuja kuathiriwa zaidi ni ulaji wangu, pact moja ya karanga na Soda Nashiba kabisaaa, kuna mtu kaniambia hata kula yangu ya haraka haraka yaweza kua sababu,
Ni kweli hua nakula haraka na pia ni nadra sana nikala huku nimekaa, kwa ufupi Sijawahi Kua serious na chakula.

Mtaani wananiita Magrili, yaani kwenye dirisha la grili napenya vzr kabisa, mguu wangu na Square pipe ya grill havitofautiani sana,
Nimeacha nyeto,ngoja nione, Nisipo nenepa narudi.
Sema leo nitashtua kimoja kujipongeza kwa kuacha.
Mi juzi nimetoboa tundu la mkanda kurudi nyuma
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uwe unafanya vipimo vya afya mara kwa mara. Kuna maradhi yakiwa mwilini hata ule vipi haunenepi ni kukonda tu.

Sema hamna mtu mwembamba kuna siku utanenepa tu. Mimi nilikuwa mwembambaa hadi sio poa ila nilivyoanza kufumuka hata niliosoma nao chuo wananiulizaga nimechoma sindano au vipi maana sikuwa na dalili ya kupata mwili siku moja
Wakajua umemloganziwa...hahhaha
 
Sema mk
Niliwahi kuleta humu mada ya aina hii miaka kama 4 iliyopita ila nilichojifunza ni kwamba ukiona umekondeana sana ongeza bidii ya kutafta hela bro,

Pesa inaleta mwili zaidi ya hizo mavidonge, tena mwili wa pesa unakuja na heshima juu utaitwa boss,ila mwil wa umaskini tutakwita Bonge [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2938436View attachment 2938437
sema mkuu
Ulikua unakula code kimazingara
Sasa kwanini ulichomekea jeans mkuu😂😂
 
Ngoja nisome na mimi, wahanga ni wengi.

Mimi Suruali ni 31, mpk sio poa.
Japo mimi nipo stable, sishuki wala kupanda, nimezoeleka kwa mwili huu tangu tuu nilipoanza Advance.

Hii imekuja kuathiriwa zaidi ni ulaji wangu, pact moja ya karanga na Soda Nashiba kabisaaa, kuna mtu kaniambia hata kula yangu ya haraka haraka yaweza kua sababu,
Ni kweli hua nakula haraka na pia ni nadra sana nikala huku nimekaa, kwa ufupi Sijawahi Kua serious na chakula.

Mtaani wananiita Magrili, yaani kwenye dirisha la grili napenya vzr kabisa, mguu wangu na Square pipe ya grill havitofautiani sana,
Nimeacha nyeto,ngoja nione, Nisipo nenepa narudi.
Sema leo nitashtua kimoja kujipongeza kwa kuacha.
We jamaa unamatatatizo mengi sana, hujijui tu..🤣
 
Back
Top Bottom