Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,195
- 17,987
Mawazo yapo automatic mkuuSasa ukiwaza ndio inasaidia au inakuathiri tu?
Mawazo yapo automatic mkuuSasa ukiwaza ndio inasaidia au inakuathiri tu?
Sasa mkuu huko kuwaza ndio kutasaidia hayo mambo kukaa sawa? Mimi huwa napokuwa napitia changamoto huwa nafikiri nini nifanye kutatua changamoto zangu na si kuwaza tu "sina hela na nina daiwa na kuuguza" haisaidii bali inakuathiri tu.Ndio, Mambo yakienda mawazo hupungua yenyewe, sa mtu umeachwa, umefukuzwa kazi, unauguliwa, umefiwa, huna kodi huna chakula mawazo yanapungua yanaenda wapi?
Watu walioshiba wana ushauri mgum sana Mkuu.
Shida sio mawazo bali unawaza nini?Mawazo yapo automatic mkuu
Kula vyakula vyenye proteins nyingi.
Fanya mazoezi angalau kwa dakika 30 kila siku
Kunywa maji yasiyopungua litre 3 kila siku
Lala usingizi wa kutosha kwa masaa yasiyopungua 7
Punguza kufanya ngono/ nyeto.
hahahaMkuu sikushauri unenepe,jikubali hakika wembamba(English figure) ni urembo ,mimi nina miaka zaidi ya 40,urefu wangu ni sm 163 ,uzito ni kg 56-60 sijawahi kuzidi hapo,ninajikubali sana,sijawahi kuutamani unene na huwa ninawacheka watu wanene.
We ni baba kabisa au!!?Kadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua.
kila nikikutana na mtu tunayefahamiana swali la kwanza kuniuliza mbona umekonda sana unaumwa?
Kinachoniumiza siyo kukonda ni usoni maana angle za fuvu zimeanza kuonekana kuhusu minyoo najitahidi kula dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu ila bado.
Leo nimetumiwa nauli nirudi Mkoani sababu ya wembamba wangu eti maisha ya mjini yamenishinda.
Ebu twambie huwa unatumia mbinu gani kushindana na mawazo ikiwa hali ya masumbufu iko Costant? Unalewa au Unaomba?Sasa mkuu huko kuwaza ndio kutasaidia hayo mambo kukaa sawa? Mimi huwa napokuwa napitia changamoto huwa nafikiri nini nifanye kutatua changamoto zangu na si kuwaza tu "sina hela na nina daiwa na kuuguza" haisaidii bali inakuathiri tu.
Binafsi naweza kuwa sina hela na matatizo kibao ila hunikuti et nina mawazo hutojua kama nina matatizo.
Huwa nafanya mambo ambayo hunifanya kujisikia vizuri na kutumia nafasi hiyo kufikiria njia zenye kuwezekana kutatua changamoto zangu, lakini kikubwa nimejifunza kuwa positive.Ebu twambie huwa unatumia mbinu gani kushindana na mawazo ikiwa hali ya masumbufu iko Costant? Unalewa au Unaomba?
Hujatingwa wewe, huwa una idea sio stress japo vyote ni mawazo ukiwa Tanzania.Huwa nafanya mambo ambayo hunifanya kujisikia vizuri na kutumia nafasi hiyo kufikiria njia zenye kuwezekana kutatua changamoto zangu, lakini kikubwa nimejifunza kuwa positive.
protein inanenepesha?Kula vyakula vyenye proteins nyingi.
Fanya mazoezi angalau kwa dakika 30 kila siku
Kunywa maji yasiyopungua litre 3 kila siku
Lala usingizi wa kutosha kwa masaa yasiyopungua 7
Punguza kufanya ngono/ nyeto.
Najua ni ngumu kunielewa ila nimekujibu kwa kifupi kama ulivyouliza na ndio maana nimesema muhimu ni kuwa positive.Hujatingwa wewe, huwa una idea sio stress japo vyote ni mawazo ukiwa Tanzania.
Inapatikana maduka ya dawa za kawaida Au.Ni dawa nzuli sana.
Dawa inauzwa 1000/= tu!, ila ndani ya miezi miwili watakupotea.