cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 120,025
- 196,572
Si ndo na mie hapa nlikua nawaza hvyoo.Abitol si dawa ya kuongeza hamu ya kula tu ile jamani kwa mtu mwenye changamoto ya kupoteza appetite?
Cc Raymanu KE
Si ndo na mie hapa nlikua nawaza hvyoo.Abitol si dawa ya kuongeza hamu ya kula tu ile jamani kwa mtu mwenye changamoto ya kupoteza appetite?
Cc Raymanu KE
usijali,kuna pacha wako pale RWANDA anaitwaKAGAME"ujiko huo jamaa yangu"Kadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua.
kila nikikutana na mtu tunayefahamiana swali la kwanza kuniuliza mbona umekonda sana unaumwa?
Kinachoniumiza siyo kukonda ni usoni maana angle za fuvu zimeanza kuonekana kuhusu minyoo najitahidi kula dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu ila bado.
Leo nimetumiwa nauli nirudi Mkoani sababu ya wembamba wangu eti maisha ya mjini yamenishinda.
Duh,dunia ina mambo mi najua bonge la bwana kumbe balozi wa njaaNgoja nisome na mimi, wahanga ni wengi.
Mimi Suruali ni 31, mpk sio poa.
Japo mimi nipo stable, sishuki wala kupanda, nimezoeleka kwa mwili huu tangu tuu nilipoanza Advance.
Hii imekuja kuathiriwa zaidi ni ulaji wangu, pact moja ya karanga na Soda Nashiba kabisaaa, kuna mtu kaniambia hata kula yangu ya haraka haraka yaweza kua sababu,
Ni kweli hua nakula haraka na pia ni nadra sana nikala huku nimekaa, kwa ufupi Sijawahi Kua serious na chakula.
Mtaani wananiita Magrili, yaani kwenye dirisha la grili napenya vzr kabisa, mguu wangu na Square pipe ya grill havitofautiani sana,
Dr. Kanishauri nipunguze(suala la kuacha nilimuambia asiliwaze) nyeto. Ila nimeacha, ngoja nione, Nisipo nenepa narudi.
Sema leo nitashtua kimoja kujipongeza kwa kuacha.
We mwili ulikuwa nao sema ulikuwa hujajipataNiliwahi kuleta humu mada ya aina hii miaka kama 4 iliyopita ila nilichojifunza ni kwamba ukiona umekondeana sana ongeza bidii ya kutafta hela bro,
Pesa inaleta mwili zaidi ya hizo mavidonge, tena mwili wa pesa unakuja na heshima juu utaitwa boss,ila mwil wa umaskini tutakwita Bonge [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2938436View attachment 2938437
Ulipotea, Sina chochote zaidi ya Uhai.Duh,dunia ina mambo mi najua bonge la bwana kumbe balozi wa njaa
Mimi pia naitwa brother Big 😊😊😊Uwe unafanya vipimo vya afya mara kwa mara. Kuna maradhi yakiwa mwilini hata ule vipi haunenepi ni kukonda tu.
Sema hamna mtu mwembamba kuna siku utanenepa tu. Mimi nilikuwa mwembambaa hadi sio poa ila nilivyoanza kufumuka hata niliosoma nao chuo wananiulizaga nimechoma sindano au vipi maana sikuwa na dalili ya kupata mwili siku moja
Max mwembamba lakini ana siha njema!
Kwa kuongezea typhoid Ni rarely kuikuta Dar es salaam ( huku tunaitaga ugonjwa wa mkoani)haumwi magonjwa ya tumbo i.e typhoid amoeba, vidonda,
huna stress nyingi?
unakula mlo kamili
𝐀𝐧𝐲 𝐰𝐚𝐲 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐤𝐮𝐧𝐝𝐢 𝐡𝐚𝐲𝐚 𝐲𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮
a. Mesomorph b. Ectomorph. C. Endomorph
ingia google utajua upo kundi gani yote kwa pamoja huitwa 𝒔𝒆𝒎𝒂𝒕𝒐𝒕𝒚𝒑𝒆
pia kundi lako la damu ni lipi? njoo pm kwa maelezo zaidi
Hii protein shake inapatikanaje?Kula sana vyakula vyenye viwango vingi vya protini. Nyama ya ng’ombe, kuku, kitimoto, samaki, mayai meupe, na kama unaweza, kunywa protein shakes.
Hiyo Abitol?Research niliyoifanya kwenye hii dawa imeleta majibu chanya kwa watu kunenepa au kuongezeka mwili kwa muda mfupi nikiwemo mimi.
Mimi nilishauliwa na daktari kwamba nitumie kama nataka kuongezeka mwili maana nilikuwa kama mbu.
Watueleze kwa kweli, mtu mambo hayasogei upunguze mawazo kwa namna gani sasa na mambo hayasogeiHivi mtu anakushauri upunguze mawazo huwa wanachukulia mawazo ni Tendo la hiali au?
Ndio, Mambo yakienda mawazo hupungua yenyewe, sa mtu umeachwa, umefukuzwa kazi, unauguliwa, umefiwa, huna kodi huna chakula mawazo yanapungua yanaenda wapi?Watueleze kwa kweli, mtu mambo hayasogei upunguze mawazo kwa namna gani sasa na mambo hayasogei
Sasa ukiwaza ndio inasaidia au inakuathiri tu?Watueleze kwa kweli, mtu mambo hayasogei upunguze mawazo kwa namna gani sasa na mambo hayasogei