MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,063
- 43,438
Huyo boya hana helaKula sana vyakula vyenye viwango vingi vya protini. Nyama ya ng’ombe, kuku, kitimoto, samaki, mayai meupe, na kama unaweza, kunywa protein shakes.
Huyo boya hana helaKula sana vyakula vyenye viwango vingi vya protini. Nyama ya ng’ombe, kuku, kitimoto, samaki, mayai meupe, na kama unaweza, kunywa protein shakes.
Kwani wote wasio na ajira ni wembamba?ukosefu wa ajira na umri umesonga, huna mke, huna hata mtoto wa kusingiziwa, kila demu anakukataa, huna kaplot, huna hela na nguvu za kijinsia zimeisha kwa kujichua, Lazima ukonde, huwezi nenepa kamwe [emoji205]
Kwisha kabisaSidhani. Max ana mvuto 🤭
Mtoa mada amesema anaona mpk fuzu la kichwa.
Pigwa lisheKadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua.
kila nikikutana na mtu tunayefahamiana swali la kwanza kuniuliza mbona umekonda sana unaumwa?
Kinachoniumiza siyo kukonda ni usoni maana angle za fuvu zimeanza kuonekana kuhusu minyoo najitahidi kula dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu ila bado.
Leo nimetumiwa nauli nirudi Mkoani sababu ya wembamba wangu eti maisha ya mjini yamenishinda.
HapanaaaaUkiwa na hela lazima uvutie tuu. Si ulimuona Dr Shika?
Unataka awe wa mfano sioHakuna dawa zaidi ya mchele uliowekwa virutubisho toka Marekani
Aisee! Unachekesha.Kwisha kabisa
Mbaba wa watu hachomoki hapa🤣
Uhiali upo kwenye nini cha kuwaza, hatuwezi kuzuia kabisa kuwaza ila katika mawazo yapo hadi mawazo ya kijinga ambayo tunakubaliana tunatakiwa kuyaacha hivyo upo uwezekano wa kuacha kuwaza yale mambo ambayo kuyawaza kwake hukupa msongo wa mawazo.Hivi mtu anakushauri upunguze mawazo huwa wanachukulia mawazo ni Tendonl hiali au?
ongeza na hayo na hayo mengine bas bonge,Kwani wote wasio na ajira ni wembamba?
Well, mfano kuforce mapenz, au kuwazia mtihan uliokwisha feli. Right?Uhiali upo kwenye nini cha kuwaza, hatuwezi kuzuia kabisa kuwaza ila katika mawazo yapo hadi mawazo ya kijinga ambayo tunakubaliana tunatakiwa kuyaacha hivyo upo uwezekano wa kuacha kuwaza yale mambo ambayo kuyawaza kwake hukupa msongo wa mawazo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] CEO wetu wembamba wake ni wa mvutoo.
Inauzwa bei gani?Kanunue dawa inaitwa (Abitol)...
Funguka zaidi hapa watu wapate uelewa kwa wingi.haumwi magonjwa ya tumbo i.e typhoid amoeba, vidonda,
huna stress nyingi?
unakula mlo kamili
𝐀𝐧𝐲 𝐰𝐚𝐲 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐤𝐮𝐧𝐝𝐢 𝐡𝐚𝐲𝐚 𝐲𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮
a. Mesomorph b. Ectomorph. C. Endomorph
ingia google utajua upo kundi gani yote kwa pamoja huitwa 𝒔𝒆𝒎𝒂𝒕𝒐𝒕𝒚𝒑𝒆
pia kundi lako la damu ni lipi? njoo pm kwa maelezo zaidi
Yaan wee acha tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23]Ila wembamba ukizidi ni kero..unakua hupendezi ukivaa nguo kama imetundikwa kwny henga