Naomba ushauri juu ya dawa za kuongeza mwili

Kula sana vyakula vyenye viwango vingi vya protini. Nyama ya ng’ombe, kuku, kitimoto, samaki, mayai meupe, na kama unaweza, kunywa protein shakes.
Dunia hii inastajabisha sana, yani wakati wenzako wanarudi wewe ndio kwanza wataka kwenda walipotoka na unaona kabisa ni hatari...

Mpe namba ya msechu atamsaidi kufika huko msechu alipo
 
Nina kabinti kangu kembamba mno..kumbe kuna siku katanenepa nimeshachoka kuhangaika nae..kula yake ni tabu..ila huwa haugui hata mwaka mzima..
Huyo atakuja kunenepa mbona. Na katakuwa na shape moja matata sana
 
Kadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua.

kila nikikutana na mtu tunayefahamiana swali la kwanza kuniuliza mbona umekonda sana unaumwa?

Kinachoniumiza siyo kukonda ni usoni maana angle za fuvu zimeanza kuonekana kuhusu minyoo najitahidi kula dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu ila bado.

Leo nimetumiwa nauli nirudi Mkoani sababu ya wembamba wangu eti maisha ya mjini yamenishinda.
ukosefu wa ajira na umri umesonga, huna mke, huna hata mtoto wa kusingiziwa, kila demu anakukataa, huna kaplot, huna hela na nguvu za kijinsia zimeisha kwa kujichua, Lazima ukonde, huwezi nenepa kamwe 🐒
 
Leo nimetumiwa nauli nirudi Mkoani sababu ya wembamba wangu eti maisha ya mjini yamenishinda.
Sema kuna watu wanajua kuwapanikisha wengine. Sasa huyo aliyekutumia nauli urudi mkoani ni yeye ndiye aliyekuleta town?

Hiyo move ya kiboya imenikata sana.

Mkuu hakuna kurudi mkoani, endelea kukomaa na jiji. Sema punguza idadi ya mademu, komaa na utafutaji chapaa
 
Kadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua.

kila nikikutana na mtu tunayefahamiana swali la kwanza kuniuliza mbona umekonda sana unaumwa?

Kinachoniumiza siyo kukonda ni usoni maana angle za fuvu zimeanza kuonekana kuhusu minyoo najitahidi kula dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu ila bado.

Leo nimetumiwa nauli nirudi Mkoani sababu ya wembamba wangu eti maisha ya mjini yamenishinda.
Kaka Bora uwe mwembamba kama kijiti lakini sio mnene, ni mateso
 
Uwe unafanya vipimo vya afya mara kwa mara. Kuna maradhi yakiwa mwilini hata ule vipi haunenepi ni kukonda tu.

Sema hamna mtu mwembamba kuna siku utanenepa tu. Mimi nilikuwa mwembambaa hadi sio poa ila nilivyoanza kufumuka hata niliosoma nao chuo wananiulizaga nimechoma sindano au vipi maana sikuwa na dalili ya kupata mwili siku moja
Sema Minyanduano na Wanaume Inawapa Protein ya Kutosha, Lakini Sijaona Wanawake Siku ya Babaaz Wakitushuku
 
Kama ni mwembamba na una Afya nzuri sioni sababu utamani kuongezeka kilo (kunenepa).

Gharama za kupunguza mwili (kupunguza uzito) ni kubwa kuliko wembamba wako.

Obesity ina athari kubwa kuliko Faida.

Tukisema tukimbie Umbali wa kilomita 7 wangapi watamudu kukimbia Umbali huo kati ya mtu mwembamba na mnene?

Mkiwa kwenye majukumu ya Ndoa, yupi anaweza kwenda round 3 na zaidi kati ya Mume mnene na Mume mwembamba?
 
Back
Top Bottom