SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,181
- 1,709
MSALIMIE RBAO yule wa pale kama unaenda pepsi mwambie anipm no yake
Wame re-advertise mikoa yote kwa post hiyo mkuu, na kilichoongezewa ni hicho tu, must be a registered member of PSPTB. tuendelee na mambo mengine tu
Asante mkuu jnne tu nitafikisha barua
Post gani mkuu? Ulishapiga pepa ya bodi?Asante mkuu jnne tu nitafikisha barua
Régistration aitaji cheti cha board bt atacheti cha chuo kinatosha bt me nko board nasomaPost gani mkuu? Ulishapiga pepa ya bodi?
Ni abbreaviation Mkuu, maana yake ni Regional Business Applications Officer( Ni cheo cha msimamizi wa mifumo ya Tehama Kwenye mkoa)Rbao ndio nani?
Wameitwa wa fani gani?Wahasibu washaitwa?Tabora watu washaitwa na written Interview ni keshokutwa jtano
Sijajua hiyo ikoje ila fatilia board wakupe ata barua ya utambulisho na sizani kwenye mashirika wanapenda barua ila jaribuNa kama umesajiliwa lakini hujapata certificate???
Kuna alieomba Katavi ameitwa kwa ajiri ya interview Tabora... AccountantWameitwa wa fani gani?Wahasibu washaitwa?
Dodoma kwa ujumla vp?
Kwa Upande wa wahasibu mkuu?Duu au fani ganiInterview j5 kwa dodoma
Ulipigiwa simu liniInterview j5 kwa dodoma
Wameitwa wa fani gani?Wahasibu washaitwa?