Naomba updates za Interview ya TANESCO

Naomba updates za Interview ya TANESCO

Arusha upande wa LinesMan/artisan simu tayari interview j tatu ni written,pen ya blue na original certificate mungu nisaidie
 
Guys vipi kuhusu watu wa stores
Dodoma, geita, mtwara, shinyanga na kigoma.
Kama kuna updates tupeane
 
kama kuna aliye apply za tegeta ,kinyerezi na mtwara gas plant upande wa umeme na mechanical.. tujuzane kama wameita watu.
tegeta na mtwara deadline ilikua trhe 8 june wakati y kinyerezi ni trh 13 june.
 
Mimi nili apply, naona kimya tu!. Nadhani bado hawajaita
 
Vp upande wa land survey, dar head office na dar and coast zone, tabora zonal na lake zone, updates please.
 
Daaaa wazeee. Hivi hawa jamaa wanatoa taarifa kwa njia ipi?
Wanapiga simu, text msg au Email.
Tujuzane hili kwanza ili tuweke umakini.
Mm nimeapply zaidi ya sehemu 5 katika position ya assistant stores, ila cjapata hta notification hata moja
 
Kwenye website yao kuna namba za simu za mkononi za management nzima ya tanesco unaweza kuchukua namba zao hasa PR na Human resources, au ukapiga simu uliko tuma maombi.
 
Kwenye website yao kuna namba za simu za mkononi za management nzima ya tanesco unaweza kuchukua namba zao hasa PR na Human resources, au ukapiga simu uliko tuma maombi.
Kama ulikua unasoma matangazo vizuri walikataza kuwapigia simu ukifanya ivyo unakua umeishajitoa mwenyewe
 
Back
Top Bottom