mmh wajameni humu ndani kuna watu wana waume zao, wake zao, watoto, wakwe, mawifi, mashemeji, kaka zao, dada zao, wapenzi, majirani, mama, baba, bibi, babu n.k.....
mie tu ndo sina ndugu au nimetokea sayari nyingine mweeeh

we jinsia gan me nitakua ndugu yako.
mmh wajameni humu ndani kuna watu wana waume zao, wake zao, watoto, wakwe, mawifi, mashemeji, kaka zao, dada zao, wapenzi, majirani, mama, baba, bibi, babu n.k.....
mie tu ndo sina ndugu au nimetokea sayari nyingine mweeeh
ooh my sis jamani gud news...nafurahi umenitambulisha na shemeji pia, kuhusu mume ngoja nisubiri subiri kidogooo
aaah chumbani!!! hapa hapa panatosha, haya wataka kunikagua nn haswa?
mdogo wangu usiende huko wasijekutenda mbaya.
Mimi nataka u-wifi una kaka?
hata sina jamani...
Mmmh bas uwe mwanangu
my mummy....happy me
my mummy....happy me
waooh naona umepata mama bado na kaka anakuja.
namsubiri kaka na baba