Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 248
- 469
Ok mgeni mi mwenyew mgeni register week ago!Asante sana sikio la muazini
Ok mgeni mi mwenyew mgeni register week ago!Asante sana sikio la muazini
Mkaribishe Mgeni Uzi wa selfika 😂
Wow, umenitangulia kidogoOk mgeni mi mwenyew mgeni register week ago!
Jamani saa hizi si mchana🤭twende usiku wa manane mbona umeniacha solemba alafu huku unajimwaya😏
Ni ujinga tu hakuna faida unapata!Na sioni wala sijawahi kuona faida ya IDs nyingi.
dunia ina mamboMgeni ila amefunga pm 😂 MKANGAFFU
Anaujua sana!Mkaribishe Mgeni Uzi wa selfika 😂
unanikataa mwanetu 😪Jamani saa hizi si mchana🤭
Relaaaxx🫠unanikataa mwanetu 😪
mbavu sina🤣🤣🤣 mgeni mwenyeji si ndiwoAnaujua sana!
weka kitambulisho cha NIDAHaujasoma maelezo hapo juu? Ni mara yangu ya kwanza kuwa registered
Ke
Agiza kinywaji kaka, nakuja kulipaMkaribishe Mgeni Uzi wa selfika 😂
Hebu mi nikamalizie kulima kipande changu kwanza loh!🤸🏽♀️mbavu sina🤣🤣🤣 mgeni mwenyeji si ndiwo
Sijaona hicho kipengeleweka kitambulisho cha NIDA
maana humu kawaida wanaingia kwa mara ya kwanza huwa wanatumia NIDA namba
na mimi ndo nipo mapumziko hapa nakunywa uji🤣🤣Hebu mi nikamalizie kulima kipande changu kwanza loh!🤸🏽♀️
Ulipata chumvi? Au sikuhizi unajikuta wa town unaijua sukari😁na mimi ndo nipo mapumziko hapa nakunywa uji🤣🤣
Mimi sio mwanafunziUpo form ngp kuwa mkweli
Idea ni nyingi sana 😂😂😂Agiza kinywaji kaka, nakuja kulipa