Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,376
- 82,188
Si hiyo yako au?na wewe Id yako ya zamani ni ipi ?
Si hiyo yako au?na wewe Id yako ya zamani ni ipi ?
Kuna niniNjoo pm muda huu
Nakuzoom tu..najiamlia mambo🤣
Hiyo si mpaka umalize lile gorofa kaka nisije nikawah haraka mwisho nikahamia stand ya magufulisawa, na mwenye nyumba wako andaa list ya dharau utazompa 😁
utaona tuKupikwa kivipi
basi najishkilia😅💃Nakuzoom tu..
Ondoa shaka mwisho wa wiki hii namaliza tunahamia ghrofaniHiyo si mpaka umalize lile gorofa kaka nisije nikawah haraka mwisho nikahamia stand ya magufuli
Acha kuwa huelewi njoo pm mengine nitakuambia huko pummmmmkKuna nini
cha pombe hautaki kupitwa na fursa?😅😅Acha kuwa huelewi njoo pm mengine nitakuambia huko pummmmmk
Njoo wewAcha kuwa huelewi njoo pm mengine nitakuambia huko pummmmmk
🤔🤔Njoo wew
Hataki fursa huyu.... 😂🤣cha pombe hautaki kupitwa na fursa?😅😅
achana nae😅Hataki fursa huyu.... 😂🤣
Una uchokoziPumpkin Baba mtakatifu91 usije ukadhani huyu ni mimi🙄
Njoo mrembo mm ni mtulivuNjoo wew
SawaNjoo mrembo mm ni mtulivu
Ni wewe mwenyewe unajibebisha kwa PumpkinHaya baba tafuta nyingi uniletee na mimi bado niko kitandani nakusubiri laazizi😘
Atakumbuka sentensiachana nae😅
kipo ndio maana mimi nimekukumbusha just in case haukukiona kwa mara ya kwanza.Sijaona hicho kipengele
Karibu mke wa PumpkinHello habarini mimi ni mgeni kwenye hii forum japo nilikua nikiiona siku nyingi hivyo basi nimeamua kuji register Rasmi ili niwe na uwezo wa ku reply kwenye mada zenu naombeni mnipokee kwa ukarimu