win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,752
- 29,566
nimetia majivu shoga angu😅😅😅Ulipata chumvi? Au sikuhizi unajikuta wa town unaijua sukari😁
nimetia majivu shoga angu😅😅😅Ulipata chumvi? Au sikuhizi unajikuta wa town unaijua sukari😁
Me jf nimeijua toka 2013 na nikawa nasoma kupitia kiswaswadu, na mpk nikawa na access ya simu kubwa Ila nimejiunga rasmi 2022 inawezkn kabisaHakunaga kitu kama sijui nilikuwa nasomaga offline miaka 6 nikaona nijiunge🚮
nimetia majivu shoga angu😅😅😅
Sana, umekula nini leo asubuhi mbona unatema ideasIdea ni nyingi sana 😂😂😂
Ronaldo kaka 😂🙌🏾Sana, umekula nini leo asubuhi mbona unatema ideas
SawaaMe jf nimeijua toka 2013 na nikawa nasoma kupitia kiswaswadu, na mpk nikawa na access ya simu kubwa Ila nimejiunga rasmi 2022 inawezkn kabisa
Nisaidie kuwaambia maan nimeona kuna watu wana maneno mabaya ila mimi siwajali nitafanya kilicho nileta humu tuMe jf nimeijua toka 2013 na nikawa nasoma kupitia kiswaswadu, na mpk nikawa na access ya simu kubwa Ila nimejiunga rasmi 2022 inawezkn kabisa
Unafànya nn bibiyeMimi sio mwanafunzi
tulia kwanza upikwe msichana🤣Nisaidie kuwaambia maan nimeona kuna watu wana maneno mabaya ila mimi siwajali nitafanya kilicho nileta humu tu
dah! Kweli, akichukua ndoo si utakuja na wazo la kufungua kampuni ya kum challenge Elon muskRonaldo kaka 😂🙌🏾
Njoo pm muda huuNisaidie kuwaambia maan nimeona kuna watu wana maneno mabaya ila mimi siwajali nitafanya kilicho nileta humu tu
Ronaldo kaka 😂🙌🏾
Una spirit ya kujiamini sana leo! Huo uji una siri gani?😁tulia kwanza upikwe msichana🤣
Sidhani kama ni wakati sahihi wa kuyasema hayaUnafànya nn bibiye
Andaa mpango wa kwenda mars tukawahi viwanjadah! Kweli, akichukua ndoo si utakuja na wazo la kufungua kampuni ya kum challenge Elon musk
Kupikwa kivipitulia kwanza upikwe msichana🤣
na wewe Id yako ya zamani ni ipi ?Hakunaga kitu kama sijui nilikuwa nasomaga offline miaka 6 nikaona nijiunge🚮
najiamlia mambo🤣Una spirit ya kujiamini sana leo! Huo uji una siri gani?😁
sawa, na mwenye nyumba wako andaa list ya dharau utazompa 😁Andaa mpango wa kwenda mars tukawahi viwanja