Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,201
- 37,401
Njoo pm chapu
Mgeni kaingia na gundu siowe msichana Pumpkin girl hebu njoo useme huu uzi wako umeupulizia nini shiyenzi😅😅
yani sijui ni gundu au nini maana sio kwa kutrend huku dah😅Mgeni kaingia na gundu sio
Wewe huoni jina lilivyo na ukakasiyani sijui ni gundu au nini maana sio kwa kutrend huku dah😅
25Una miaka mingapi?
Sijaelewawe msichana Pumpkin girl hebu njoo useme huu uzi wako umeupulizia nini shiyenzi😅😅
ni huzuni asee 😅Wewe huoni jina lilivyo na ukakasi
haujaelewa niniSijaelewa
Ulicho maanishahaujaelewa nini
Vijana ndo wanapenda sasa, hapo tunajua mtoto fundi huyooni huzuni asee 😅
fundi kwenye nini 😅😅😅 we mpe kichwaVijana ndo wanapenda sasa, hapo tunajua mtoto fundi huyoo
Kumekucha🤣we msichana Pumpkin girl hebu njoo useme huu uzi wako umeupulizia nini shiyenzi😅😅
atueleze tu jamni,, kwanini atrendishe uzi wakati hii wiki ilikua imepoa zake tu😅Kumekucha🤣
utambulisho bila picha Pumpkin girlHello habarini mimi ni mgeni kwenye hii forum japo nilikua nikiiona siku nyingi hivyo basi nimeamua kuji register Rasmi ili niwe na uwezo wa ku reply kwenye mada zenu naombeni mnipokee kwa ukarimu
Labda kaja na baraka zake jamani! Vijana wetu nao kama unavyowajua hawachezagi mbali😆atueleze tu jamni,, kwanini atrendishe uzi wakati hii wiki ilikua imepoa zake tu😅
Sikuona kipengele cha kuweka pichautambulisho bila picha Pumpkin girl
ngoja tuendelee kukazoom😅Labda kaja na baraka zake jamani! Vijana wetu nao kama unavyowajua hawachezagi mbali😆
Mtu mpk anajiita Pumpkin girl jua kwenye mech unatakiwa ufanye mazoezi kabla hujaingia ulingonifundi kwenye nini 😅😅😅 we mpe kichwa
Ila jamani! Bangi avute mwingine wengine muwe high🤣ngoja tuendelee kukazoom😅