Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,412
- 104,849
- Thread starter
- #341
Mungu akupe afya njema.
Pole sana Ushimen. Mwenyezi Mungu asimamie afya yako mkuu.
Mkuu are you serious or just kidding. Kama ni kweli unamaanisha basi sote tunakuombea upone maana ni kweli sasa hivi unalala asubuhi inakuwa surprise Mungu akupe uponyaji Katika Jina la Yesu Kristo, Amina.
Piga nyungu mwanzo mwisho!
Unajuaje kama hana matatizo mengine ya Afya?
Mkuu JITAHIDI Sana, kuikimbia hofu kadri ya uwezo wako, wasiliana na kiongozi wako wa kiimani atakushauri vema, Mungu ni mwema atakuponya bila shaka.
Wala usiogope mkuu mimi toka ijumatatu ya wiki iliyopita nilikua hoi mno. Mbavu,kifua,joint,kichwa,homa na kikohoo
Niliogopa sana yaani kifua na koo vilivyokua vinauma nilijua naondoka asee. Ila leo niko poa kabisa.(Sikuambia yoyote juu ya hiki)
Cha msingi acha Hofu kabisa kama una Kwaya Video angalia sana zinaondoa temptation..
Chukua Baking Soda kijiko cha kula kimoja changanya kwenye glasi kunywa kabla ya kula chochote.Nimepona kifua na Mbavu kwa hili.
Chukua Tangawizi,Asali na liamao uwe unakunywa.
Chukua mnyaa/mnyara ubabue kwenye moto kifogo kisha tafuna meza maji yake kikohoo kitapona.
Au tafuna majani ya mbaazi kifua na Kikohoo vitapona
Mimi nimepona koo kwa mchanganyiko huo
View attachment 1436458
Jitenge ila usisahau vyungu na juice ya limao na tangawizi kwa wiiiingiiiiiiii,hakika utapona mkuu
Wakuu, asanteni sana.Pole sana mkuu,
Hii kitu ipo na ninawashauri tu kuwa makini na hasa kuchukuwa tahadhari ili kuwalinda wanao tuzunguka
Sent using Jamii Forums mobile app


