Ahsante kwa taarifa, ulichoandika ndiyo hali halisi.
Hatua ulizochukua ndiyo hatua stahili. Week ya 3 sasa nimekuwa katika mapambano ya hali kama yako.
Sikuwa karibu na wife, chakula changu kikawa duni, nilishindia uji wa lishe nikiyopewa na majirani zangu wenye upendo.
Shemeji zangu na kijana jirani walifanya kazi kubwa kuniandalia majani ya Mwembe, mwarobain, alovera, mpera , mparachichi na mstafeli walichemsha na kunifukiza.
Wife akaja toka safari, akaniunganishia kufukiza na kuboresha chakula, uji, supu ya kuku, ugali laini ndizi kuku kwa mpangilio wa muda mfupi unakula hiki kwa kiasi cha mgonjwa .
Glass ya maziwa, tangawizi limao karafuu unakunywa, Ahsante Mungu nguvu zimerudi Niko vzr .
Kumpeleka mgonjwa hosp au huko Mlonganzila ni kumsogeza kaburini, Nampongeza sana Rais anaishi nasi anajua maisha yetu kupelekana hosp na kupewa majibu yanakuwa yanatisha yenye sura zote za maandalizi ya KUNYANYAPALIANA na kupelekea kifo .
Nyumba nzima , tujifukize nyumba nzima tunywe tiba mbadala.