Ingekuwa vizuri ukaweka wazi uliponaje mkuu,maana sio Ushimen pekee anaeishi kwa hofu tuko wengi humu ndani...Corona ipo mtaani na watu wanaugua... Acha kuogopa Mimi nimepata maambukizi ya Corona mara mbili na mara zote nimepona bila kunywa hata Panadol.
Mwanaume acha kulialia, show us your strength and endurance kwenye magumu Kama haya. As survival chance Ni kubwa Kama wewe Ni kijana usie na chronic disease, you are safe... And so why worrying?
Sent using Jamii Forums mobile app
akipokea simu utuletee mrejesho hali ya babu ikojeKaka mbona unanitisha? Hebu fungua simu tuongee kidogo tafadhali
Jr![]()
Corona ipo mtaani na watu wanaugua... Acha kuogopa Mimi nimepata maambukizi ya Corona mara mbili na mara zote nimepona bila kunywa hata Panadol.
Mwanaume acha kulialia, show us your strength and endurance kwenye magumu Kama haya. As survival chance Ni kubwa Kama wewe Ni kijana usie na chronic disease, you are safe... And so why worrying?
Na Kama hujui hofu ndio adui yako mkubwa Sasa, watu wengi walikuwa na ukimwi bila kujua na waliishi kwa Amani kwa miaka mingi ila walipoambiwa tu Wanao ukimwi HIV walikufa mapema kwa sababu walikaribisha hofu.
Fear is the darkenes
Hope is the lantern.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naendelea kumcheki nitafanya hivyo

Mkuu kama ni muumini wa biblia pitia mstari huu:Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana nakutafuta. Ukiweza nipigie brotherKaka mbona unanitisha? Hebu fungua simu tuongee kidogo tafadhali
Jr![]()