Naomba niwaage

Naomba niwaage

Mnyaa naujua vizuri sana, ule utomvu wake unavutia ukiuona,,ila cjasikia mtu akila mnyaa,,ndio kwanza nackia mkuu.
Wanakula sana.

Ukiubanika kwenye jiko la mkaa ule upande yanapoangukia majivu unakauka ule utomvu na kubaki mkavu kiasi sasa ukiutafuna kuna radha fulani kama jojo ila si tamu wala chungu kuna kauchachu flani.

Ila sio mzuri ukiutumia mara nyingi
 
Kama ni corona fanya hivi:

1. Sukutua mdomo na maji yenye vuguvugu+ chumvi

2. Katakata limao na maganda yake na tangawizi then chemsha unywe.

3. Jifukize na uweke tone moja la eucalyptus B. P oil "silver birds"

4. Fanya mazoezi. USIKUBALI KULALA KABISA.

MUNGU mwema akuondolee hofu, akupe Amani yake na akurejeshee afya yako upese.
Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.

Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.

Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.

Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.

Ngoja nipambanie hii pumzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh,hizi dawa mnazomtajia inawezekana kabisa zinasaidia ila nyingi ni kubahatisha,kwanini msimshauri aende hospitali mapema ili kama ni Covid-19 aanze matibabu pale na kama sio ndio aendelee na hizo mixer iwapo atagundulika ana hayo matatizo,kwa mfano hapo umetaja mseto na salbutamol,unawezaje kuzitumia hizo dawa kama hujajua una malaria au pumu...!
So waona tunabatisha acha mazalau yako yani acha mazalau yako
 
Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.

Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.

Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.

Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.

Ngoja nipambanie hii pumzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

May our Lord God Almighty of Israel watch over you.
 
Back
Top Bottom