Naomba niwaage

Naomba niwaage

Mkuu, naomba nilione ilo jani la Madagascar,,,na matumizi yake pia kama hutojali
Ndio hii mkuu
MVIMG_20200502_174045_104.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni furaha kusikia umerudi mkuu
1. Nilijifukiza nyungu kwa kutumia muarobaini mixer na mshana mixer na mkaratusi × 3 kwa siku
2. Nili kunywa juice ya tangawizi mixer na limao mixer na kitunguu swaumu × 3 kwa siku.
Kuna dawa nilitumiwa na nilikunywa vijiko 2 vya chai kila baada ya masaa 3.
Sasa nimekuwa mzima, sina mafua, sina maumivu, sina kikohozi, sina maumuvu ya kichwa, sina mamumivu ya mwili, asante Mungu nimerudi barabarani kama kawaida

Hapo chini nimeambatanisha dawa niliyo tumiwa na nilipo ipokea.View attachment 1443257View attachment 1443258

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana kaka

Back
Top Bottom