hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,229
- 1,035
Hiyo ni dawa gani bwn Tojo au majani gani by the way pole sanaNshapiga mkuu Ila ni chungu balaa Ila naona reaction yake iko fasta
Sent using Jamii Forums mobile app
HAYA SAWA NDIYOKwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naisi umekimbia amana weweKwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu una shida gani??Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namshukuru Mungu naendelea vizuri mkuu wangu,nguvu,afya ,nuru imerejea nlikaribia kukata tamaa Ila Mungu ni mkubwa niko njema kabisa.Hali ipoje mpaka sasa.?
Wanasema ndio dawa ya Corona Madagascar wamegundua,hili Jani kwa kiswahili fasaha sijui inaitwaje kweli najua tu kilugha,nashkuru Niko poa saiviHiyo ni dawa gani bwn Tojo au majani gani by the way pole sana
Huu mti kikwetu tunauita mlavumba, unatumika sana kutibu chango la uzazi, mafua na kikohozi.Hii ndio yenyewe
View attachment 1439146
OoooooohoooooooooMkuu unaendeleaje?
Sent from Nokia 7 Plus
Ahsante sana mkuu, Mungu amesimama upande wangu.Nikuombee afya njema mkuu. Nimekusamehe.