Naomba niwaage

Naomba niwaage

Mungu wa mbinguni atakusaidia, kwani hata mimi nafsi yangu inatoa machozi na ninajuta sana kwanini mungu alinileta dunia hii ya mateso

Sent using Jamii Forums mobile app
Usifike mbali hivyo....

Inuka...usikate tamaa...

Huko peke yako.... ni wengi!

Utashinda..na zaidi...

Salu sana na jitihada ongeza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka USh. naona bado ni mzima maana kwangu ka-like pia mpaka sasa ni active.
Ila yaezekana hajisikii vizuri au katutania.Ila kwa kipindi hiki tuondolee dukuduku kwa kusema neno basi!

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
 
Nilitaka kukuuliza huko Unguja umeshatoka? Nimeangalia video ya mazishi mfanyakazi wa azam marine nikakukumbuka sana.
Stay safe.

Moyo wangu umeumia sana na kupata uchungu mno kuangalia hizo video.
Wakati wa self isolation nimezurura sana JF, nafikiri imekua sehem ya kunipunguzia mawazo na kunipa burudani.

Ushimen endapo tatizo ni huu ugonjwa kukata tamaa ni kosa kubwa sana mkuu. Kwanza sio kila anaeupata anaondoka, kuna kundi la watu wengi tu wanapona tena wengine bila hata msaada wa hospital, hatari ipo lakini sio kubwa kiasi hichi mkuu.
 
Amechoka.
Yupo vizuri.
Amejiweka karantini anajisikilizia.
Binafsi mimi usiku huu ni mbaya sana kwangu.
Najuta kwenda instagram kuangalia hayo mavideo ya maziko ya corona.
Zimeniumiza
Kaka USh. naona bado ni mzima maana kwangu ka-like pia mpaka sasa ni active.
Ila yaezekana hajisikii vizuri au katutania.Ila kwa kipindi hiki tuondolee dukuduku kwa kusema neno basi!

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
 
Amechoka.
Yupo vizuri.
Amejiweka karantini anajisikilizia.
Binafsi mimi usiku huu ni mbaya sana kwangu.
Najuta kwenda instagram kuangalia hayo mavideo ya maziko ya corona.
Zimeniumiza
Pole Sana mkuu, lakini ndo uhalisia tuchukua tahadhali

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
Hata simu hapokei sijui nini kimemkumba
Mungu ni mkuu wa yote, ukimtegemea yeye utapona tu. Hakikisha unalala kifudifudi ili upate hewa mwilini mwako kwa urahisi. Hii ni kwa mujibu wa wanasayansi wa dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa hofu Ushimen, MUNGU arejeshe furaha yako kama hapo mwanzoni.

Sent using Nokia Asha
Nooo,! Ushimen rudi bhana bado mapema sanaa
Kila la kherii kiongozi


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeongea naye though anaonekana kuwa na hofu nimemtia moyo kuwa he will be ok and yes he will be ok ..tuendelee kumuombea hofu ya kukataa Tamaa imtokee, ....ni miongoni mwa mtu ambaye from day one shule zinafungwa tulikuwa very makini kwa watoto ni ukweli ugonjwa upo tusiubezee but Mungu yu pamoja nasi he will recover ..

Let us pray for him @ ushimen you will be okay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom