Ukiwa na hela au cheo wanamwambia ndugu zako walete sanduku na watangulie makaburini.Mbaya zaidi ukifa na Corona unazikwa na manispaa bila ndugu Kama kibaka mkwapuzi wa Ferry au kariakoo.
Too disrespectful and inhumane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia post yake siku mbili tatu nyuma,kaeleza alikuwa Safari kikazi Sasa yule aliekuwa akimuendesha kapata corona na akafa,,so akaeleza na yeye Ana hofu kapata,Mkuu acha utani,me nimekujua long time humu na tumekuwa pamoja japo hatukuwahi onana.sema nini shida plz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata win vipi!
Duh,hizi dawa mnazomtajia inawezekana kabisa zinasaidia ila nyingi ni kubahatisha,kwanini msimshauri aende hospitali mapema ili kama ni Covid-19 aanze matibabu pale na kama sio ndio aendelee na hizo mixer iwapo atagundulika ana hayo matatizo,kwa mfano hapo umetaja mseto na salbutamol,unawezaje kuzitumia hizo dawa kama hujajua una malaria au pumu...!Mkuu usikate tamaa fanya hivi
Anza dosi ya mchanganyiko wa kuchemsha Wa limao ,tangawizi ,kitunguu swahum na chumvi kila wakati wakati huo pata dawa za kupunguza maumivu,weka antibiotic Kali ka ma azithromycin,na kama homa Kali piga na mseto inaweza kua malaria kama shida kupumu chukua salbutamol inhal.Tuliza kichwa punguza mawazo na kwa maelezo hayo ni matumain utaludi hapa janvin kwa kicheko
Hapo pia kataja ethromycin,,hi dawa imetajwa tajwa Sana na watu huko US waliokuwa wakiugulia home na wakapona,,Duh,hizi dawa mnazomtajia inawezekana kabisa zinasaidia ila nyingi ni kubahatisha,kwanini msimshauri aende hospitali mapema ili kama ni Covid-19 aanze matibabu pale na kama sio ndio aendelee na hizo mixer iwapo atagundulika ana hayo matatizo,kwa mfano hapo umetaja mseto na salbutamol,unawezaje kuzitumia hizo dawa kama hujajua una malaria au pumu...!
Mkuu acha uvivu,utakufa kwa njaa shauri yakoKwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
InshaallahUtapona .inshaallah ,,Mungu awe nawe
Ulitumia nini mkuu,tupeane mau tundu..Corona ipo mtaani na watu wanaugua... Acha kuogopa Mimi nimepata maambukizi ya Corona mara mbili na mara zote nimepona bila kunywa hata Panadol.
Mwanaume acha kulialia, show us your strength and endurance kwenye magumu Kama haya. As survival chance Ni kubwa Kama wewe Ni kijana usie na chronic disease, you are safe... And so why worrying?
Na Kama hujui hofu ndio adui yako mkubwa Sasa, watu wengi walikuwa na ukimwi bila kujua na waliishi kwa Amani kwa miaka mingi ila walipoambiwa tu Wanao ukimwi HIV walikufa mapema kwa sababu walikaribisha hofu.
Fear is the darkenes
Hope is the lantern.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mjamaaa mbona hivyo nini mbaya mwamba siyo issues hahahahaKwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miss you maaInshaallah
Mkuu mnyaa Kama mnyaa huu wunaotoa utomvu Kama maziwa au!?Wala usiogope mkuu mimi toka ijumatatu ya wiki iliyopita nilikua hoi mno. Mbavu,kifua,joint,kichwa,homa na kikohoo
Niliogopa sana yaani kifua na koo vilivyokua vinauma nilijua naondoka asee. Ila leo niko poa kabisa.(Sikuambia yoyote juu ya hiki)
Cha msingi acha Hofu kabisa kama una Kwaya Video angalia sana zinaondoa temptation..
Chukua Baking Soda kijiko cha kula kimoja changanya kwenye glasi kunywa kabla ya kula chochote.Nimepona kifua na Mbavu kwa hili.
Chukua Tangawizi,Asali na liamao uwe unakunywa.
Chukua mnyaa/mnyara ubabue kwenye moto kifogo kisha tafuna meza maji yake kikohoo kitapona.
Au tafuna majani ya mbaazi kifua na Kikohoo vitapona
Mimi nimepona koo kwa mchanganyiko huo