Naomba niwaage

Naomba niwaage

Wakuu kuna hii video Nimekutana nayo,
Ni Nzuri inatoa techniques za kupambana na infections
Huyu ni Chris Cuomo Mtangazaji CNN alikua na infections za Corona kwa Sasa amesha-recover
Haya mambo mambo anayoelezea Kwenye Video ndiyo aliyoyafanya yakamsaidia




Kuna maelezeo yake pia hapo chini

Ukitaka Download iyo video tumia App ya Fast Save

Wakuu Tuombe Mungu pia Tusiwe na hofu Sana

Ushimen Ushimen Ushimen


I'm on that good kush and alcohol
 
Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.

Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.

Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.

Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.

Ngoja nipambanie hii pumzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uwiiiiiii

Ushimen
Mbona wataka kutuchulia jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh,hizi dawa mnazomtajia inawezekana kabisa zinasaidia ila nyingi ni kubahatisha,kwanini msimshauri aende hospitali mapema ili kama ni Covid-19 aanze matibabu pale na kama sio ndio aendelee na hizo mixer iwapo atagundulika ana hayo matatizo,kwa mfano hapo umetaja mseto na salbutamol,unawezaje kuzitumia hizo dawa kama hujajua una malaria au pumu...!
Hamna matibabu ya Corona wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom