Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,210
Mungu awe nawe
Mnyaa nimeshamuagiza mtu kesho nikiamka salama ntaletewa nitumie mkuuMimi nilikua sina mafua.. ila koo na kifua mdio vilinitesa. Nikilala ndio linazidi kutaka nikohoe.
Mm toka wiki iloyopita natumia mchanganyiko huo wa asali,Tangawizi unga na Limao. Pia hua namungunya tangawizi kipande kidogo everyday na kula chungwa moja.
Mkuu tafuta mnyaa ni mzuri sana.. kipindi hiki sijatumia maana nilikua napanik hadi nikasahau kama ni dawa. Ndio nikakumbushwa maana utotoni tulikua tunapewa na wazazi
Moja ya sms kutoka kwa ushmen, yuko okay japo anapita kwenye changamoto, tuendelee kuombeana wapendwa Mwambie awe strong, dunia inataka tuwe strong hivyo aondoe woga na kujijengea kujiamini. He's a good human being, tunamuombea!!Ahsante sana ram.
Waambie ninawapenda sana pia, na ahsante kwa maombi yao...
Moja ya sms kutoka kwa ushmen, yuko okay japo anapita kwenye changamoto, tuendelee kuombeana wapendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu, nimetokewa na hali kama hizo kuanzia juzi, hakika tutapita salama.Hata mm situation ndio Kama hiyo nikivuta pumzi nakohoa,mafua ,siskii harufu ya kitu chochote,uchovu bila kufanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
amechukua tips muhimu kwenye uzi?asiwe na hofu bana,yaani mamia wamepona kwa nini isiwe yeyeAhsante sana ram.
Waambie ninawapenda sana pia, na ahsante kwa maombi yao...
Moja ya sms kutoka kwa ushmen, yuko okay japo anapita kwenye changamoto, tuendelee kuombeana wapendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah amechukua na ameshaanza tiba tunaamini Mungu atamponyaamechukua tips muhimu kwenye uzi?asiwe na hofu bana,yaani mamia wamepona kwa nini isiwe yeye
futa hii picha mshana kama lengo la kuweka hizo ink ilikua ni kuficha namba coz namba zinaonekana
Corona ipo mtaani na watu wanaugua... Acha kuogopa Mimi nimepata maambukizi ya Corona mara mbili na mara zote nimepona bila kunywa hata Panadol.
Mwanaume acha kulialia, show us your strength and endurance kwenye magumu Kama haya. As survival chance Ni kubwa Kama wewe Ni kijana usie na chronic disease, you are safe... And so why worrying?
Na Kama hujui hofu ndio adui yako mkubwa Sasa, watu wengi walikuwa na ukimwi bila kujua na waliishi kwa Amani kwa miaka mingi ila walipoambiwa tu Wanao ukimwi HIV walikufa mapema kwa sababu walikaribisha hofu.
Fear is the darkenes
Hope is the lantern.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,hizi dawa mnazomtajia inawezekana kabisa zinasaidia ila nyingi ni kubahatisha,kwanini msimshauri aende hospitali mapema ili kama ni Covid-19 aanze matibabu pale na kama sio ndio aendelee na hizo mixer iwapo atagundulika ana hayo matatizo,kwa mfano hapo umetaja mseto na salbutamol,unawezaje kuzitumia hizo dawa kama hujajua una malaria au pumu...!
umetumia vyote hivyo kwa pamoja?Wala usiogope mkuu mimi toka ijumatatu ya wiki iliyopita nilikua hoi mno. Mbavu,kifua,joint,kichwa,homa na kikohoo
Niliogopa sana yaani kifua na koo vilivyokua vinauma nilijua naondoka asee. Ila leo niko poa kabisa.(Sikuambia yoyote juu ya hiki)
Cha msingi acha Hofu kabisa kama una Kwaya Video angalia sana zinaondoa temptation..
Chukua Baking Soda kijiko cha kula kimoja changanya kwenye glasi kunywa kabla ya kula chochote.Nimepona kifua na Mbavu kwa hili.
Chukua Tangawizi,Asali na liamao uwe unakunywa.
Chukua mnyaa/mnyara ubabue kwenye moto kifogo kisha tafuna meza maji yake kikohoo kitapona.
Au tafuna majani ya mbaazi kifua na Kikohoo vitapona
Mimi nimepona koo kwa mchanganyiko huo
View attachment 1436458
umetumia vyote hivyo kwa pamoja?