Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

Jamani riba ni asilimia ndogo jamani!

Wewe sisi hatutaki yote hayo

Shemeji atakupa za mtaji na hizo utapewa km bonus, lakin kwann dada hutaki tupate pesa wenzio?!! Hujui ukipata wewe na sisi tumepata jamani?!!!

Mimi hizi pesa zikitupita sikuelewi kabisaaa
Za DPW tumekosa mgawo na hizi jamani kweli?!!
 
Akubali akatae tunampeleka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom