Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,010
wewe hii ilinipita veeepee kwanza?? Yaani dada Joannah hizi pesa zikitupita sitokuelewa abadani!!!!!!!!
Yeye atake, asitake harusi tunayo. Shem asijali mke umepata hata kwa winch tutamtoa
Tunataka mashemeji wenye mipesaaa yao sisi



winja winja tunampeleka hata akikataa mashemeji ndio sisi hapa