Naomba muongozo biashara ya MASSAGE

Naomba muongozo biashara ya MASSAGE

Okay.
Offcoz mkuu nitahakikisha huduma inakua nzuri wateja watoke wamefurahi.
I personally will make sure all my customers get a happy ending
Anzisaha na hudumia ya kusongesha mwili wateja wakubwa wanawake ila wakuwaogesha ni mwanaume, wanasuguliwa na povu zito ka ilivo car wash nipesa tu zitakufata


Deal of million dollars, kwishaaaaa
 
Hongera kwa kuchagua professional massage.
Option ya kwanza
Unaweza kutafuta Wathailand/Philipines/Taiwaness massuer. Work permit sio issue na wanapatikana. Ingia partnership badala ya yeye kukufanyia kazi. Wako vizuri sana na ni internationally recognized. Foreigners wengi na watanzania wanaotaka huduma za uhakika hupenda kupata huduma yao.
Kama uko Dar I can recommend utembelee baadhi ya maeneo ili kuweza kuiba ideas na kuamua modus operandi yako
Thailand kufanya nini hapo zenji Kuna majanki ni WA Thailand unaongea NAE unamuhamisha tu mana NDO kazi zao



Deal of millions dollars, kwishaaa
 
Mkuu, hii biashara imevamiwa sana sana, ndio maana unaona replies za wanajukwaa kutokana na experience tunazoziona na kusimuliana.

My own experience, nilikua naumwa mgongo na nikatakiwa nitafute masseur professional. Aisee hao wa Sinza izo za fullbody 20,000 sijui jacuzzi massage body2body zote janja janja. Hawajui wanachokifanya.

Nikaja nikapata ya Wathailand ndio walimisaidia ingawa bei zilikua za moto sana.

Tukirudi kwenye topic, nashauri tafuta kwanza mtoa huduma ndio mpange nae. Hafu mshahara mnaweza kulipata kwa huduma na sio kwa mwezi, kwasababu hii huduma lazima appointment sio kama kwa wakala wa Mpesa au duka la Mangi unaingia anytime.

Vifaa itategemea ila simple ni chumba chenye self bathroom, kitanda na materials (mafuta, nk).

Ni cheap sana sijajua tu bei za mafuta nk.
Hao wa Thailand wanapatika a wapi kwa Dar??
 
Weka mijitu iliyokomaa
Ilioenda Gym

Mtu akiingia atakaa sawa hata kabla hajaanza kufanyiwa massage atasema hapo hapo Hamna shida 😈
 
Back
Top Bottom