Happy ending ni kucheka cheka mwishoni na kutoa sauti za ajabu ajabu baada ya massage.Happy ending ni nini mkuu?
Kumbe wewe ni muhuni hiviUkisha mshik shik kikisimama
Unadumbukiza kunako
Kuna siku wataponyeza wrong nerve mtu azimike.Mtaani wapo wengi tu na hawajasomea
Ulivyo mrefu labda unisaidie post no zitakanisaidiaRejea uzi wa INSIDER MAN @jinsi biashara ya uber ilivyonikutanisha na mrembo😂
Tutaweka mziki mzuri laini wa kuliwaza hizo milio za ajabu za nini sasa?Happy ending ni kucheka cheka mwishoni na kutoa sauti za ajabu ajabu baada ya massage.
Baki tu huko uliko mkuu.Massuer niko hapa, Lakini mimi special kwa mishangazi na feminist.
But you have to pay me extra kunirudisha bongo.
Amua unataka kuifanyaje biashara yakoHabari wakuu.
Nikitaka kuanzisha na kufanikiwa katika kutoa huduma ya massage nizingatie nini?
1)Kibali kinatolewa baada ya kukamilisha nini?
2)Profesional Masseuse /masseur wanakua na cheti cha level gani?Mishahara yao ikoje?
3)Natakiwa niwe na nini?
Natanguliza shukrani
Me muhimu vipi tena😂Kumbe wewe ni muhuni hivi
Kabla sijakutana na hii reply nilishaboreka na michango ya wadau.Mkuu, hii biashara imevamiwa sana sana, ndio maana unaona replies za wanajukwaa kutokana na experience tunazoziona na kusimuliana.
My own experience, nilikua naumwa mgongo na nikatakiwa nitafute masseur professional. Aisee hao wa Sinza izo za fullbody 20,000 sijui jacuzzi massage body2body zote janja janja. Hawajui wanachokifanya.
Nikaja nikapata ya Wathailand ndio walimisaidia ingawa bei zilikua za moto sana.
Tukirudi kwenye topic, nashauri tafuta kwanza mtoa huduma ndio mpange nae. Hafu mshahara mnaweza kulipata kwa huduma na sio kwa mwezi, kwasababu hii huduma lazima appointment sio kama kwa wakala wa Mpesa au duka la Mangi unaingia anytime.
Vifaa itategemea ila simple ni chumba chenye self bathroom, kitanda na materials (mafuta, nk).
Ni cheap sana sijajua tu bei za mafuta nk.
Hakutakua na mazingira ya vishawishi.Jitahd kuepuka vishawishi.
Nilikua nakuchukulia jentroman kumbe I was wrongMe muhimu vipi tena😂
Na inaonekana wanaoifanya kwa kumaanisha ni wachacheHii biashara ime vamiwa sana siku hizi