- Thread starter
- #81
Mkuu Intel tunakuheshimu sanaata kuambia tuna kuheshimu mkuu😂😂
Mkuu Intel tunakuheshimu sanaata kuambia tuna kuheshimu mkuu😂😂
AiseeeHabari wakuu.
Nikitaka kuanzisha na kufanikiwa katika kutoa huduma ya massage nizingatie nini?
1). Kibali kinatolewa baada ya kukamilisha nini?
2). Profesional Masseuse /masseur wanakua na cheti cha level gani?Mishahara yao ikoje?
3). Natakiwa niwe na nini?
Natanguliza shukrani
Tafuta sehemu yenye kivuli upumzike kwanza mkuu🙏Shenzi kumbe unatuenjoy 😂😂😂😂
Halafu wewe si binti mdogo wewe!?Endelea tu ku hang out na hao wazee wa hovyo na wewe uje kuwa bibi wa hovyo shauri yako.Na yeye itapendeza akipiga show time ili kuboresha huduma zaidi..!! 😹😹😹
Asante mkuu!Hongera kwa kuchagua professional massage.
Option ya kwanza
Unaweza kutafuta Wathailand/Philipines/Taiwaness massuer. Work permit sio issue na wanapatikana. Ingia partnership badala ya yeye kukufanyia kazi. Wako vizuri sana na ni internationally recognized. Foreigners wengi na watanzania wanaotaka huduma za uhakika hupenda kupata huduma yao.
Kama uko Dar I can recommend utembelee baadhi ya maeneo ili kuweza kuiba ideas na kuamua modus operandi yako
Sala Thai Massage (Masaki & Oysterbay)- pale nenda kimyakimya,angalia mazingira,angalia service catalog yao (utaona na aina mafuta,herbs etc),angalia set up ya vyumba na vitanda. Hapa hawawezi kukupa details unless umezoeana nao sana. Ukiuliza maswali watajifanya ung'eng'e na kiswahili havipandi😆😆Asante mkuu!
Naomba u recomend please🙏🙏
Hehehe haya ngoja nipoe jua kaliTafuta sehemu yenye kivuli upumzike kwanza mkuu🙏
Hapana.Una mapepo wewe
Kwahiyo hutaki ushauri wangu 😹😹Halafu wewe si binti mdogo wewe!?Endelea tu ku hang out na hao wazee wa hovyo na wewe uje kuwa bibi wa hovyo shauri yako.
Heyyyyyyyyyyyy beautiful girl ,I'm gentle manNilikua nakuchukulia jentroman kumbe I was wrong
Ajifunzie YouTubeHivi kwa Tz chuo/shule yakufundisha kutoa hii huduma kiko wapi?
Shukrani🙏🙏Sala Thai Massage (Masaki & Oysterbay)- pale nenda kimyakimya,angalia mazingira,angalia service catalog yao (utaona na aina mafuta,herbs etc),angalia set up ya vyumba na vitanda. Hapa hawawezi kukupa details unless umezoeana nao sana. Ukiuliza maswali watajifanya ung'eng'e na kiswahili havipandi😆😆
Then nenda Collesium hotel,muulizie Roni. She is nice and engaging. You will get good info kwa kuanzia
Kwa kuwa wale babu zako hawapo naamini unaweza kunipa ushauri mzuri tuKwahiyo hutaki ushauri wangu 😹😹
Tunahitaji muongozo wako pia
Worry out gentleman huna baya🙏Heyyyyyyyyyyyy beautiful girl ,I'm gentle man
Ila tu nmejibu swali ulouliza
Sasa kosa ni kipi
🙏🙏Ajifunzie YouTube
Karibu sana boss wetuNiko tayari kuwa mteja wako kama utaanzisha huduma.
Kwaninbora ufanyiwe na robot