Naomba muongozo biashara ya MASSAGE

Naomba muongozo biashara ya MASSAGE

Okay.
Offcoz mkuu nitahakikisha huduma inakua nzuri wateja watoke wamefurahi.
I personally will make sure all my customers get a happy ending
Shenzi kumbe unatuenjoy 😂😂😂😂
 
Unaiweka wapi mteja wa kwanza kabisa nipo apa
20250827_144844.jpg
 
Halafu nime google maana ya happy ending.

Pumbavu zenu wote mlioitaja.
Hamna adabu mlaaniwe
 
Nimechagua No 1 nipe miongozo yake dear.🙏
Hongera kwa kuchagua professional massage.
Option ya kwanza
Unaweza kutafuta Wathailand/Philipines/Taiwaness massuer. Work permit sio issue na wanapatikana. Ingia partnership badala ya yeye kukufanyia kazi. Wako vizuri sana na ni internationally recognized. Foreigners wengi na watanzania wanaotaka huduma za uhakika hupenda kupata huduma yao.
Kama uko Dar I can recommend utembelee baadhi ya maeneo ili kuweza kuiba ideas na kuamua modus operandi yako
 
Back
Top Bottom