Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,421
- 96,778
Na ili ilipe, ndio uhuni una take place.Na inaonekana wanaoifanya kwa kumaanisha ni wachache
Na ili ilipe, ndio uhuni una take place.Na inaonekana wanaoifanya kwa kumaanisha ni wachache
Massage place cha kwanza kabisa jitahidi pawe calm. Usitafute nyumba iko jirani na barabara. Itakua fujo.Kabla sijakutana na hii reply nilishaboreka na michango ya wadau.
Nimegundua kitu,wadau wanaendaga kwenye madanguro wakidhani ni massage parlours.
Mimi natamani kutoa huduma kama hao wathailand waliokusaidia.Massage ni tiba ya matatizo mengi na sio huduma ya ngono kama wabongo wengi wanavyodhani.
Labda niwatafute hao wathailand wanipe muongozo.
Halafu vitanda si huwa vinakua kama vya hospital?
Hii inakuwaje?Happy ending iwepo
Shingoni, kushotoKuna siku wataponyeza wrong nerve mtu azimike.
Nitaajiri profesional masseuse tutoe tiba sahihi
Natamani kufanya no 1.Amua unataka kuifanyaje biashara yako
1. Proffesional massage parlour (hapa wateja wanaokuja ni wale wanaojitambua wakilenga kupata treatment za variety mbalimbali
2. Massage za kawaida( wateja wengi ni wanaume na wanafuata uzuri wa wadada na mara nyingi huduma huenda beyond massage)
Kwenye namba mbili,masseurs ni wengi na wateja ni wengi.
Kama chuoni tunasema ni professor wa hayo mamboNi nani huyu?
Wamesomea?
Nimechagua No 1 nipe miongozo yake dear.🙏Amua unataka kuifanyaje biashara yako
1. Proffesional massage parlour (hapa wateja wanaokuja ni wale wanaojitambua wakilenga kupata treatment za variety mbalimbali
2. Massage za kawaida( wateja wengi ni wanaume na wanafuata uzuri wa wadada na mara nyingi huduma huenda beyond massage)
Kwenye namba mbili,masseurs ni wengi na wateja ni wengi.
HatariNa ili ilipe, ndio uhuni una take place.
Ni kuhakikisha sanduku la wapiga kura linasuguliwa kwa mikono laini yenye tui la nazi....teh😝Happy ending ni nini mkuu?
Bless you mkuu🙏🙏.Massage place cha kwanza kabisa jitahidi pawe calm. Usitafute nyumba iko jirani na barabara. Itakua fujo.
Kuhusu kitanda mchawi budget ila vipo design simple tu. View attachment 3464784
Na room pia iwe simple na calm.
View attachment 3464786
Jaribu wacheki hawa Sala Thai Massage Oysterbay.
View attachment 3464787
Kama ni mdau wa Google Maps wacheki
https://maps.app.goo.gl/GbZ3ZWysump5A3C76?g_st=ipc
Mnani stress na hizi repliesUnamaanisha taratibu za kufungua WhoreHouse?Maana kibongo bongo Massage Parlour za mtaani ni Fronts za Prostitution So zingatia vigezo hivo
Hapo ndo hatari eeh?Shingoni, kushoto
Okay.Kama chuoni tunasema ni professor wa hayo mambo
Tunakuheshimu mkuu🙏Ni kuhakikisha sanduku la wapiga kura linasuguliwa kwa mikono laini yenye tui la nazi....teh😝
We mzee 😹😹Ni kuhakikisha sanduku la wapiga kura linasuguliwa kwa mikono laini yenye tui la nazi....teh😝