Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,680
- 30,906
Weka vizuri hapo kwenye kukaanga Kuna gharama yake au?
Taja gharama zote jumla isipokuwa nauli ya kusafirisha mzigo.
Sado unamaanisha Ile ndoo ndogo ya Lita 10 au like kikopo cha Lita 3 sijui 4?
Taja gharama zote jumla isipokuwa nauli ya kusafirisha mzigo.
Sado unamaanisha Ile ndoo ndogo ya Lita 10 au like kikopo cha Lita 3 sijui 4?
Sado 15000 dagaa wabichi wenye nyama wasio na mchanga, kukaanga nakaanga Mimi bei inatofautiana pia, kuangizwa dagaa pia bei zimetofautiana