Mambaz 24 jr
JF-Expert Member
- Aug 25, 2023
- 694
- 1,417
Kwahio tunakutumia pesa ndio unafata mzigo au mzigo upo tyr bila kutegemea pesa zetu?
Kuna huyu anaitwa sam. Niliungwa kwneye group lake la whatsapp ila nilijitoa muda tu .. Unhone hizo sadoLita ngapi?
Mbona maelezo nusu nusu?
Au unapenda kuchati!
Sawa watakuja.Ndo maana nikasema mtaji Sina nategemea uhaminifu wenu wakuu
Ndo naanza mkuu nimeamua kujiajiri huku mkuu uhaminifu upo mkuu, Sina mtaji unatuma pesa nafata mzigo harafu unasema unatakaje uwejeKwahio tunakutumia pesa ndio unafata mzigo au mzigo upo tyr bila kutegemea pesa zetu?
Una idea hio hio tu au una nyingne? Na upo wapii? Mtaa,wilaya na mkoaaNdo naanza mkuu nimeamua kujiajiri huku mkuu uhaminifu upo mkuu, Sina mtaji unatuma pesa nafata mzigo harafu unasema unatakaje uweje
Ndo nimeona hii ipo vizuri mkuu nipo Mara wilaya nipo MusomaNi
Una idea hio hio tu au una nyingne? Na upo wapii? Mtaa,wilaya na mkoaa
MM nashauri jaribu kutafta wazo lingine kwa ajiri ya kujikwamua kimaisha, unalo zungumzia kufanya biashara ya samaki au dagaa maana yake unagusa sehemu ya chakula ambayo ndio msingi wa afya ya binadamu.Ndo nimeona hii ipo vizuri mkuu nipo Mara wilaya nipo Musoma
Nakazia📌Mm nashauri jari
MM nashauri jaribu kutafta wazo lingine kwa ajiri ya kujikwamua kimaisha, unalo zungumzia kufanya biashara ya samaki au dagaa maana yake unagusa sehemu ya chakula ambayo ndio msingi wa afya ya binadamu.
Hivyo basii ni ngumu sana mtu kukuamini umtaftie hao vitoeo.
Tafta mtaji kwanza ujenge brand ndio uanze hio biashara, yaan sisi ndio tukutafte na wala sio wewe kututafta.
Nimeamua kujiajiri mkuuMm nashauri jari
MM nashauri jaribu kutafta wazo lingine kwa ajiri ya kujikwamua kimaisha, unalo zungumzia kufanya biashara ya samaki au dagaa maana yake unagusa sehemu ya chakula ambayo ndio msingi wa afya ya binadamu.
Hivyo basii ni ngumu sana mtu kukuamini umtaftie hao vitoeo.
Tafta mtaji kwanza ujenge brand ndio uanze hio biashara, yaan sisi ndio tukutafte na wala sio wewe kututafta.
Kila la kheriiNimeamua kujiajiri mkuu
Hiyo sado aliyoweka na maelekezo yako ni sahihi.Sadi sio ndoo ya litre 10..
Kuna vile vindoo vindogo vya rangi, ila sijui specific litres
Kuna mtu anauza dagaa, sado ndogo ni 23k na sado kubwa ni 25k.
Kama dagaa ni 15k kwa sado. Leo ndo nimejua wana faida pia
Karibu sana mkuuHiyo sado aliyoweka na maelekezo yako ni sahihi.
Hiyo lita 4 hivi sijui 3.5.
Ngoja nitamuambia mdau atamjaribu kijana uaminifu wake, Kama bado mtu wake hajamletea.
We si umesaidiwa 22000 na Red blackMods wanafuta tu Uzi kila nikiomba
Naomba mnisaidie japo hela ya kula japo buku ten tu mdogo wenu 0622730684
Pole ngumu sana kuonewa huruma ukizaliwa wakiume..ila mkuu pia nishakwambia usiombe hela ndogo za kula hutaaminika mtu kukutumia laki 2 si ataona unaikimbia na jf mazima..we post kazi omba deal onyesha mzigo,uza na mtaani huku hautujui kumbe wengi tunaishi ulaya hahahahahHakuna kitu aje aseme hapa
Sasa firl chakula sahani ya 2000 ndo uwapangie kabisa watu wakutumie 10000Red black umetuma wapi uje useme hapa sitaki utapeli
Ujeuri 😄Kama unaona shida unaacha sijakulazimisha mkuu hii ni biashara ndo nimeanza Sina kitu Wala mtaji hayo yote naelewa