Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,948
- 147,818
Agiza weye.Huwezi jua
Agiza weye.Huwezi jua
SADO MOJA MKUUNahitaji za 15000 nipo songea mpakani na msumbini
Kaambiwa kuna mtu nataka nikuunganishe nae ila kijana yupo speed hatumii fursaShule ndo kipengele hapo. kichwa kiko juu juu kama mbuzi. Biashara zina wenyewe.
Nashukuru sana mkuu karibu sanaShule ndo kipengele hapo. kichwa kiko juu juu kama mbuzi. Biashara zina wenyewe.
Ndo nimeanza mkuu nimeamua kujiajiri ili nipate kazi kwenu wakuuWeka na picha za dagaa,ukiwa sokoni ili kuwin trust
Bado hujatatua tatizo. Ingawa nimeshajua hiyo kopo ya rangi ya Lita 4 ile.View attachment 3633602hii ndo Sado kwa kupimia dagaa
Daaah,hii biashara ngumu🙌Bado hujatatua tatizo. Ingawa nimeshajua hiyo kopo ya rangi ya Lita 4 ile.
Kuna ndoo za Lita 20 zipo hivyo muonekano kwenye picha.
Geuza piga kwenye maandishi ya ujazo au
Weka chini jipige picha kwenye hiyo sado ikiwa kwenye miguu yako( iwe point of reference) tutajua ukubwa halisi..
Hiyo picha nimetoa mtandao ndo nimeanza Sina mtaji unataka kitu Gani mkuuBado hujatatua tatizo. Ingawa nimeshajua hiyo kopo ya rangi ya Lita 4 ile.
Kuna ndoo za Lita 20 zipo hivyo muonekano kwenye picha.
Geuza piga kwenye maandishi ya ujazo au
Weka chini jipige picha kwenye hiyo sado ikiwa kwenye miguu yako( iwe point of reference) tutajua ukubwa halisi..
Tunaenda taratibu tu mkuuDaaah,hii biashara ngumu🙌
Sado 15000 ndoo 45000 mkuuUna uzaje dagaa
Upige picha Sasa.Tunaenda taratibu tu mkuu
Nitumie namba 😂Heaateri mane
Huniletei tenaAgiza weye.
Utaletewa na muuzajiHuniletei tena
Kaambiwa kuna mtu nataka nikuunganishe nae ila kijana yupo speed hatumii fursa
Ndo maana nikasema mtaji Sina nategemea uhaminifu wenu wakuuUpige picha Sasa.
Sadi sio ndoo ya litre 10..Basi tuache hapo hatuelewani.
Maana nimekuuliza kuhusu tafsiri ya sado huko kwenu.
Kwetu sado ni kopo ya Lita 4, mkoa wa Pwani sado wanamaanisha ndoo ndogo ya Lita 10 wao hiyo sado ya kwetu wanaita amboni.
Unaweza kuleta sado ya kwetu kwa mtu wa Pwani akaja kutangaza wewe mwizi tapeli umemletea mzigo mdogo amboni.