Naomba msaada wenu wateja wa dagaa na samaki

Naomba msaada wenu wateja wa dagaa na samaki

Mkuu Firl mi sina cha kukusaidia mana mi mwenye pangu pakavu tia mchuzi mng`oa visiki

cha kukusaidia labda

Ufungue account insta tiktok fb nk kisha unapost matangazo jf pia KILA LA KHERI..
 
IMG_2862.jpeg
 
Ukienda kuona mtu wa kwenu ulitoka wanaanza masengenyo, huyu kijana kazi gani anataka kupeleka ndege ama kupeleka garii, kweli cc min -me
 
Karibu sana mkuu
Mtu wangu hajapata mzigo bado anasema mtu wa huko ziwani anasema ziwa limefungwa wiki moja.
Kwa hivyo na wewe pia hutaweza kupata dagaa endapo hizi taarifa za kweli. Atakutafuta baada ya wiki 1.
Ndoo kubwa walio kaangwa tayari bei gani?
 
Mtu wangu hajapata mzigo bado anasema mtu wa huko ziwani anasema ziwa limefungwa wiki moja.
Kwa hivyo na wewe pia hutaweza kupata dagaa endapo hizi taarifa za kweli. Atakutafuta baada ya wiki 1.
Ndoo kubwa walio kaangwa tayari bei gani?
Lita 10 ndoo ni elfu 60000 mkuu waliokaangwa
 
Wakuu kwema habari zenu vipi Poleni sana na majukumu wakuu,

Ndugu yenu mdau wa Jamiiforum nakufa njaa nimeazisha Uzi wa dagaa na samaki mnipatie kazi niwatafutie lakini Naona kimya sana wakuu, Mimi ndo nimeanza Sina mtaji nimeamua kujiajiri ziwani kwa kuwatafutia samaki na dagaa,

Ili nisikae Bure naona maisha magumu naomba ata msaada wako mwenye kiasi chochote anisaidie Sina kitu kingine cha kufanya naomba mnisaidie wakuu 0622730684 japo ata buku ten tu wakuu

Pia naomba mniungishe kwenye samaki na dagaa 🙏😥😭
Ungekazia tu kwenye biashara unaweza pata madili. Kuomba pesa kwa kijana mwenye smart phone na uwezo wa kununua bando, havina uhalisia. Kosa lingine la kiufundi ni kuweka kiwango, eti hata buku ten. Mwenye shida hataji kiwango. Sorry it's my opinions.
 
Wakuu bei ya samaki kama wanafika Leo Leo wabichi bila kukaanga watakuwa vizuri maana unakuta nimewatengeneza kama ukitaka bila kuwakaanga wafike wabichi kwako huko
Una kibari cha kusafirisha samaki wabichi?
 
Back
Top Bottom