Nahitaji msaada wa ufadhili wa masomo

May 28, 2022
5
5
Habari, Poleni na majukumu, ni mwanafunzi wa Bachelor of pharmacy mwaka wa Kwanza.

Ninashindwa kulipa Ada yote chuoni Ninaomba alie na uwezo japo kidogo anisaidie, ninaishi na mama Tu na Hana uwezo WA kunisomesha NAOMBA msaada wako.

Semester 1 nimepata G.P.A ya 3.5 , naamini nitafanya vizuri zaidi kama nitapata msaada.

Semester hii ya pili ninashindwa kusoma kwa Uhuru Kwa sababu sijalipa ada na sina msaada.

Nipo teyari hata kuacha dhamana ya Cheti changu cha form four original, Kadi au namba ya NIDA, Cheti cha kuzaliwa na chochte atakacho hitaji mtu WA kunidhamini ili Tu niweze kuendelea na Masomo vizuri.

Ninatumai nitapata msaada kutoka kwa mtu yeyote atakaye wiwa kunisaidia ili kuniwezesha kufikia ndoto zangu.

Contact: +255 782 437 483
 
Naomba msaada kwa atakae wiwa kunisaidia mama angu Hana uwezo wakunisomesha
 
Back
Top Bottom