Naomba msaada wa afya naombeni msaada

Naomba msaada wa afya naombeni msaada

Mrs minel

Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
74
Reaction score
85
Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya mfanyakazi naombeni mnisaisie 0764214031
 
Pole kwa changamoto subiri waje wataalam
 
Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya mfanyakazi naombeni mnisaisie 0764214031

Hapo madktari wanasemaje?kwamba unatatizo lipi? je hiyo hali wao wanaionaje?

Si uombe kuondoka hapo.waambie hao regwncy kwamba wakupe ruhusa..maana hapo wameshashindwa kukutibu full stop

Halafu hiz private hosp sometimes wanajali sana maslahi yao zaidi kuliko uhai.wanaona kabisa wameshindwa jambo bado wanaendelea kukaa na wewe ili tuu waendelee kukomba hela za kwenye bima
 
Je mloganzila ni mpaka nipewe rufaa au naweza kwenda tu direct nikalazwa
 
Hapo madktari wanasemaje?kwamba unatatizo lipi? je hiyo hali wao wanaionaje?

Si uombe kuondoka hapo.waambie hao regwncy kwamba wakupe ruhusa..maana hapo wameshashindwa kukutibu full stop

Halafu hiz private hosp sometimes wanajali sana maslahi yao zaidi kuliko uhai.wanaona kabisa wameshindwa jambo bado wanaendelea kukaa na wewe ili tuu waendelee kukomba hela za kwenye bima
mkuu private na bima ya Afya nhif wapi na wapi huko wasikiage kesh
 
Pole sana
Namba moja kwa hiyo namba hakika inahitaji uangalizi mkubwa,

SASA usijilaze embu kaa kwenye kitanda au kiti isaidie kupanua mapafu yafanye kazi zaidi. itasaidia pia sana oxygen isipungue upate nguvu..

Ila kwanini unataka kuhamia mloganzila?

(mimi sio daktari)
 
Pole sana mkuu na kila la kheri
 
Back
Top Bottom