Tuff
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 332
- 773
Inahusiana vipi na msaada anaohitaji?Since 2014 ina reaction score ya 64?, yaani haja comment au kuliko miaka yote hiyo!
Inahusiana vipi na msaada anaohitaji?Since 2014 ina reaction score ya 64?, yaani haja comment au kuliko miaka yote hiyo!
Unafahamu kuwa maswali yako hayana msaada kwa mleta mada? Kama wewe una muda wa kushinda JF 24hrs usifikiri kila mtu ana huo muda , huwezi kuelewa ila kuna wakati utafika utaelewa vizuriSince 2014 ina reaction score ya 64?, yaani haja comment au kuliko miaka yote hiyo!
Bima inalipa, SEMA unataka Nini! Labda pesa ya matibabu au usafiri wa kukuhamisha hapoNimeweka no yngu hapo mm natka nitolewe hapa regency 0764214031 mm niko wodini shida yangu nataka nipewe rufaa niende hospitali nyingine ninatumia bima ya nhif
Bima ya nhif siku hizi haina uzito kivile, na kama ni private wata taka cash.Nimeweka no yngu hapo mm natka nitolewe hapa regency 0764214031 mm niko wodini shida yangu nataka nipewe rufaa niende hospitali nyingine ninatumia bima ya nhif
Hoja yako ina msaada gani kwake? Hebu acha utoto. Reaction score unayohitaji kwake itakusaidia nini ?Tumia akili, 11 years I'd ilikuwa ime tulia tu!
View attachment 3458411
24 hrs?, acha niendelee kulala Sasa mkuu.Unafahamu kuwa maswali yako hayana msaada kwa mleta mada? Kama wewe una muda wa kushinda JF 24hrs usifikiri kila mtu ana huo muda , huwezi kuelewa ila kuna wakati utafika utaelewa vizur
Toa msaadaPole
Soma maelezo vizuri, usikurupuke hovyo.Hoja yako ina msaada gani kwake? Hebu acha utoto. Reaction score unayohitaji kwake itakusaidia nini ?
Huyo mwana ana shida pahalaID yake ya 2014 unaona siyo ya zamani?
Na je siku hizi mtu anasaidiwa endapo tu ana ID ya zamani? Haya ni maajabu
I'd yake ya zamani itakusaidia nini? Au I'd ndio inaponyesha?Bima ya nhif siku hizi haina uzito kivile, na kama ni private wata taka cash.
Ndio maana nime kwambia kurahisisha njoo n I'd ya zamani, ili tufanye jambo.
Sina uwezo wa kufanya hivyoToa msaada
Aya na mm sinaSina uwezo wa kufanya hivyo
Tutulize mashono tuAya na mm sina
Unataka matibabu ya kifua au transfer.Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya mfanyakazi naombeni mnisaisie 0764214031
Mimi nilidhani jambo aliloulizia la uhamisho angepata jibu sehemu aliyolazwa? Kwa nini asiwaulize directly kuwa anataka kubadilisha sehemu ya matibabu? Thread inaweza kuwa ni mtu mwenye shida kweli lakini pia inatia wasiwasi sana sana. Na namba kaweka ya nini?Huyo mwana ana shida pahala
Mimi sihitaji hela shida ni kwamba oxygen yangu inashuka huku still niko kwenye oxygen leo iko 68 inaniogopesha sana natamani kuhama hospitali ila sina wa kunisimamia nitoke hapa hiyo ndio shida yangu sina ndugu wa kunisemea hapa nitoke hapa hospitaliBima inalipa, SEMA unataka Nini! Labda pesa ya matibabu au usafiri wa kukuhamisha hapo
Naomba unipigie 0764214031Unataka matibabu ya kifua au transfer.
Kama ni matibabu ya kifua eleza in details. Umri wako, historia ya ugonjwa, Kama una BP, cardiac issues, n.k
Usaidiwe