Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,028
- 52,505
Nimekutumia namba pm dadake nipigie sasa hivi nikupe mwongozo
au ICU(intensive care unit) Niko nje regency niambie Dr wako anaitwa nani na ndg yako wa karibu ulimwandika kwenye taarifa zako hapo hospitalini........Niko hapa nikusaidieNimeweka no yngu hapo mm natka nitolewe hapa regency 0764214031 mm niko wodini shida yangu nataka nipewe rufaa niende hospitali nyingine ninatumia bima ya nhif
Kuna utani wowote nilio uweka hapo?, kasema ana omba msaada na ana bima ya nhif.kabisa, kuna wakati ni busara kuweka dhana kuwa mtu ana matatizo kweli kuliko kuweka dhihaka kwa dhana mtu anadanganya.
Unaweza hisi unachekesha watu kwa comment za kipumbavu kutotambua kuwa pengine faraja na matumaini pekee ya mgonjwa na huu uzi wake aliouweka.
Intelligent businessman jambo linachekesha kama halijakugusa directly, usifanye dhihaka kwenye madhila ya wengine chief.
Mpigie simu, kwa hali yake sidhani hata huu uzi kaandika yeye.uko wodi namba ngapi Mariam.
au ICU(intensive care unit) Niko nje regency niambie Dr wako anaitwa nani na ndg yako wa karibu ulimwandika kwenye taarifa zako hapo hospitalini........Niko hapa nikusaidie
Mimi sio kenge mkuu , patro mtandaoni inaishi labda niende niulize mapokeziMpigie simu, kwa hali yake sidhani hata huu uzi kaandika yeye.
Umenikumbusha tuliwahi toka private na mgonjwa tukapewa refferal twende Muhimbili, ila tukashauriwa tupite mwananyamala tukifika kule tutumie refferal ya mwananyamala maana ikitokea umetoka private moja kwa moja kuna package zake na zipo juu.Mloganzila.nenda Tu direct ila unatokea private ujuena kule bill yako itakuwa ya kipravate ..ujipange.ila uzuri kuleutapona
Ni kweli, wengine hawana hulka ya Kuandika au kukoment Kila jamboUnafahamu kuwa maswali yako hayana msaada kwa mleta mada? Kama wewe una muda wa kushinda JF 24hrs usifikiri kila mtu ana huo muda , huwezi kuelewa ila kuna wakati utafika utaelewa vizuri
Hahaha, kwamba una weza vuliwa kwa chambo wa bei nafuu.Mimi sio kenge mkuu , patro mtandaoni inaishi labda niende niulize mapokezi
I'd yake ya zamani itakusaidia nini wewe kilaza?Kama umeshindwa hata kutoa msaada wa maneno si usepe tu we kitobo.msaada upi madam wa mchango?, kama ni ndio njoo na I'd yako ya zamani ita saidia Sana.
Yaani akijichanganya Tu wanaeUmenikumbusha tuliwahi toka private na mgonjwa tukapewa refferal twende Muhimbili, ila tukashauriwa tupite mwananyamala tukifika kule tutumie refferal ya mwananyamala maana ikitokea umetoka private moja kwa moja kuna package zake na zipo juu.
Sema wewe mkuu, niki sema mimi nita onekana nakebehi.Mimi nilidhani jambo aliloulizia la uhamisho angepata jibu sehemu aliyolazwa? Kwa nini asiwaulize directly kuwa anataka kubadilisha sehemu ya matibabu? Thread inaweza kuwa ni mtu mwenye shida kweli lakini pia inatia wasiwasi sana sana. Na namba kaweka ya nini?
Msaada wa maneno kwa mtu mwenye shida ya kifua?,I'd yake ya zamani itakusaidia nini wewe kilaza?Kama umeshindwa hata kutoa msaada wa maneno si usepe tu we kitobo.
Kwani anaitaji hela?Msaada wa maneno kwa mtu mwenye shida ya kifua?,
anyway aki weka hiyo I'd, nita changia mchango wa sadaka yangu.
Mwisho matusi siku hizi ni cheap shots, labda umwambie mzazi wako ndio ana weza shituka.
Nipo wodi namba tano wodi ya kawaida femaleuko wodi namba ngapi Mariam.
au ICU(intensive care unit) Niko nje regency niambie Dr wako anaitwa nani na ndg yako wa karibu ulimwandika kwenye taarifa zako hapo hospitalini........Niko hapa nikusaidie
Wakudischarge hapo ukaanze mojaNipo wodi namba tano wodi ya kawaida female
Please km upon regency njoo wodi no 5 naitwq mariam 0764 214031uko wodi namba ngapi Mariam.
au ICU(intensive care unit) Niko nje regency niambie Dr wako anaitwa nani na ndg yako wa karibu ulimwandika kwenye taarifa zako hapo hospitalini........Niko hapa nikusaidie
Acheni uzushi nyie.Mloganzira? Pale si ndo Jehanamu enyewe? Unajipeleka kibraa? Lol
Mwenye dhamira ya kusaidia hasa atasaidia kwa kuguswa na tatizo husika na si jina la muhusika.Kuna utani wowote nilio uweka hapo?, kasema ana omba msaada na ana bima ya nhif.
Kwa tatizo lake hilo una hisi hiyo bima ya nhif ita mfaa kwa muda gani?, means cash ita hitajika mwanzoni.
that's why nika muambia aje na I'd yake iliyo zoeleka ili tufanye jambo, au hujui watu wa jf walivyo wagumu kutoa kwa wasiye mjua.