Naomba msaada wa afya naombeni msaada

Naomba msaada wa afya naombeni msaada

Since 2014 ina reaction score ya 64?, yaani haja comment au kuliko miaka yote hiyo!
Ficha upumbavu wako mkuu,,,, usijitie wa muhimu sana,,,, kwamba ni lazima akoment na kuandika nyuzi kila kukicha ? Wengine wako humu ni watumishi, wafanya biashara n.k,,,, pia wanazo familia zao, unadhani mda wote wanakesha jf ? Wengine sio wazungumzaji, wanasoma na kupita hivi !

Pia hajaomba msaada wa hela, kaomba namna ya kuhamia mloganzila kwa haraka !
 
Sema wakuu mambo ya matibabu gharama sana, kama una msaada wowote unaweza kumsaidia huyu ndugu yetu.
 
Waombe tu wakuandikie Rufaa. Kupona pia kunaendana na imani kama una imani na Mloganzila. Ila sijajua umetumia vigezo gani kuona panakufaa na si hospital zingine. Zungumza na Doctor atakuandikia tu rufaa haina hata mambo mengi wala. Kama unauwezo unaweza lipia hata ambulance ama tafuta usafiri binafsi wa kukufikisha kwa haraka maana njia ya kwenda Mbezi sio rafiki sana kwa sababu ya foleni.
Samahani,kwanini usingemshauri akaenda Muhimbili ya Upanga (Hospital kuu)?

Hapo ndiyo karibu zaidi akitokea Regency,ndugu mgonjwa pole sana kwa unayopitia Mungu akuponye.
 
Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya mfanyakazi naombeni mnisaisie 0764214031
Mloganzila.nenda Tu direct ila unatokea private ujuena kule bill yako itakuwa ya kipravate ..ujipange.ila uzuri kuleutapona
 
Mimi sihitaji hela shida ni kwamba oxygen yangu inashuka huku still niko kwenye oxygen leo iko 68 inaniogopesha sana natamani kuhama hospitali ila sina wa kunisimamia nitoke hapa hiyo ndio shida yangu sina ndugu wa kunisemea hapa nitoke hapa hospitali
Pole sana dada yangu, Sasa kabla hajaja mtu wa kukusaidia Hilo nikuombe pambana uishinde hofu kwanza, hili linawezekana kwa kuomba au kusoma hata kwenye AI namna Bora ya kufanya meditation, hii itakusaidia kujitambua lakini pia kujua Hali unayopitia, kumaliza hofu na baada ya hapo possibly utaanza kuexperience changes kwenye kupanda kwa oxygen



Binafsi Napenda praying meditation! It's so nice



Sasa nipende kuwaomba watu wa daslamu wafike hapo hospital chap ili wakusave,

Mwisho, tunaweza kukupuuza sisi wote ila Mungu kamwe hatokupuuza mpenzi wangu😋😋😋uwe na mchana mwema


NB: calling u Mpenzi with a Sense of ❤️, wishing u to stay with us now and then,
 
Samahani,kwanini usingemshauri akaenda Muhimbili ya Upanga (Hospital kuu)?

Hapo ndiyo karibu zaidi akitokea Regency,ndugu mgonjwa pole sana kwa unayopitia Mungu akuponye.
Ndo maana nikamwambia kupona pia kunaenda sambamba na "imani". Na nikasema sijajua kwanini yeye kaona heri aende Mlohanzila. Ni kweli Muhimbili kuna ukaribu zaidi. Na nafikiri kunafikika kiurahisi zaidi tofauti na Mloganzila. Kuhusu Rufaa aombe tu watamuandikia kwa vile amekaa muda mrefu na hapati ahueni!!!
 
Nimeweka no yngu hapo mm natka nitolewe hapa regency 0764214031 mm niko wodini shida yangu nataka nipewe rufaa niende hospitali nyingine ninatumia bima ya nhif
Saturation 68 :SO2 kutoka 100
Na bado una chat na unafuatilia comment ?ndugu kuwa serious basi
Au fanya drama nyingine
Uko kwenye life -death situation

Moderators naomba mufanye the needful anataka ku exploit ID za watu kupitia huruma zao
 
Huyu bwana maswali yake huko juu yamekaa ajabu sana,wakati mwengine watu masihara yanazidi humu hata jambo muhimu linaonekana utani which is siyo kitu kizuri.
kabisa, kuna wakati ni busara kuweka dhana kuwa mtu ana matatizo kweli kuliko kuweka dhihaka kwa dhana mtu anadanganya.

Unaweza hisi unachekesha watu kwa comment za kipumbavu kutotambua kuwa pengine faraja na matumaini pekee ya mgonjwa ni huu uzi wake aliouweka.

Intelligent businessman jambo linachekesha kama halijakugusa directly, usifanye dhihaka kwenye madhila ya wengine chief.
 
Back
Top Bottom