Naomba msaada wa afya naombeni msaada

Naomba msaada wa afya naombeni msaada

Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya mfanyakazi naombeni mnisaisie 0764214031
Pole sana changamoto ya bima ya afya kwa sasa ili upewe rufaa lazima kuwe na sababu ya kitaalamu na sio kwa hitaji la mgonjwa. Nakushauri ongea na daktari anaekuhudumia kuhusu tatizo lako ujue unaumwa nini kabla ya kutaka rufaa.
Kama kuna member karibu amsaidie ndugu yetu. Ukiongea na daktari anaweza kuwashauri nini kifanyike
 
Msaada wa maneno kwa mtu mwenye shida ya kifua?,

anyway aki weka hiyo I'd, nita changia mchango wa sadaka yangu.

Mwisho matusi siku hizi ni cheap shots, labda umwambie mzazi wako ndio ana weza shituka.
nimesikitika sana, user name yako na unayoyaandika ni mbingu na ardhi, kuna mtu humu ana jina nadhani someone Kipanga, lakini kila akichangia anaharisha, nadhani ni muda wa kutumia tu majina yenu original, kama ni Masumbuko jiite Masumbuko tu, huku ni kudhalilisha maneno mazuri ya kiingereza
 
Saturation 68 :SO2 kutoka 100
Na bado una chat na unafuatilia comment ?ndugu kuwa serious basi
Au fanya drama nyingine
Uko kwenye life -death situation

Moderators naomba mufanye the needful anataka ku exploit ID za watu kupitia huruma zao
siyo kila mtu normal oxygen saturation yake ni 100%, wengine normal yake inaeza kua hata 96%, so usishangae mkuu mtu kua na 68% na akaongea na kuchati kabisa, japo atakua na signs za distress, otherwise kama wewe siyo medical personnel sitashangaa
 
Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya mfanyakazi naombeni mnisaisie 0764214031
pole sana sister na Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi🙏
 
Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya mfanyakazi naombeni mnisaisie 0764214031
Pole kwa kuumwa.
Mambo mhimu ya kuelewa na kuzingatia:
1: Rufaa au kuomba rufaa ni moja katika haki za msingi pale unapokuwa na sababu ya/za mhimu.

2: Kabla ya kuomba rufaa jitahidi kuwasiliana na mtoa huduma wako ili kujua tatizo lako la msingi, matarajio ya daktari kulingana na unavyoumwa na huduma anayokupa na nini kinafanyika ili kurejesha afya yako vyema.

3: Ni mhimu kufahamu utaratibu mzima wa kutimiza rufaa yako kwa upande wa bima, hospitali na wewe binafsi. Mfano: kwa hali yako, utahitaji gari yenye uwezo wa kutoa huduma ya oksijen na mhudumu wa afya, je gharama ni juu ya nani?

4: Ni vyema kujua tasisi inayoenda kukupokea mfumo wake ukoje. Kwa linalofahamika, ukitoka kwenye taasisi binafsi ukapeqa rufaa kwenda kwenye hospitali ya serikali kuna gharama unazohitajika kugharamia ukilinganisha kama ukitoka hospitali ya serikali kwenda serikali.

Hivyo, ni vyema kuyachakata haya kwa umakini kabla ya maamzi.

Nakutakia tiba njema.
 
Back
Top Bottom