Naomba msaada katika scenario kama hii ya road accident

Naomba msaada katika scenario kama hii ya road accident

Kama walivyosema wengine road accident map ni ya muhimu kujua utamshtaki nani... Pamoja na traffic Case judgement ili ukienda kufungua case ya negligence usipate tabu kuprosecute kesi yako...

ila kwa mimi ningemshtaki mwenye Gari deep pocket utapata cha kueleweka😀
Nimekupata. Kwa faida ya kesho, soma kesi hii
 
Attachments

Watu mnachonga sana humu kutwa kutukana watu kumbe mnabebesha watoto kwenye mishkaki, kutwa kutukana sukuma gang kumbe hata kula yenu taabu tupu
 
Watu mnachonga sana humu kutwa kutukana watu kumbe mnabebesha watoto kwenye mishkaki, kutwa kutukana sukuma gang kumbe hata kula yenu taabu tupu
Hujui kitu wewe katika sheria
 
asante sana. najua kuna watu wanasema mshikaki hauruhusiwi. Lakini hiyo ni kesi ya bodaboda , mimi hainihusu maana ni kosa la dreva kubeba mishikaki.......

Wewe ni mtu sensible, ngoja nikuwekeehii kesi uisome na unishauri
Hiyo ni ajali ishu za mshkaki zitamhusu bodaboda sio abiria ndio maana kuna bima
 
Asante kwa mawazo. sasa nawashitaki nani na nani? Bodaboda na mwenye gari au mwenye gari nikishirikiana nan bodaboda. Insuarance itaingiaje?
Wewe lengo la kushtaki ni ili iweje?
 
Asante kwa mawazo. sasa nawashitaki nani na nani? Bodaboda na mwenye gari au mwenye gari nikishirikiana nan bodaboda. Insuarance itaingiaje?
Kuna kesi jamaa ameshinda anatakiwa alipwe 300mil na Kilimanjaro Express baada ya hilo basi kuwagonga gari lao na kusababisha vifo vya watoto wake wawili

Kama sijakosea

Hukumu imetoka mwaka huu
 
Kuna kesi jamaa ameshinda anatakiwa alipwe 300mil na Kilimanjaro Express baada ya hilo basi kuwagonga gari lao na kusababisha vifo vya watoto wake wawili

Kama sijakosea

Hukumu imetoka mwaka huu
Ngoja niitafute, GOOD NIMEIPATA. It gives a lot of information.
 
Attachments

asante sana. najua kuna watu wanasema mshikaki hauruhusiwi. Lakini hiyo ni kesi ya bodaboda , mimi hainihusu maana ni kosa la dreva kubeba mishikaki.......

Wewe ni mtu sensible, ngoja nikuwekeehii kesi uisome na unishauri
Nimeisoma hiyo case.. Sidhani kama hii ya kwako itafikia huku, kuna mawili matatu ningependa kujua
. Je picha za ajali zipo?
. Je dereva aliyesababisha ajali yupo? Ana leseni?
.Je gari yake ina bima?
. Je bima yake ni ya kampuni gani?
. Je case iko reported polisi tayari?
. Je mmetunza risiti na nyaraka zote za matibabu?
 
Kama walivyosema wengine road accident map ni ya muhimu kujua utamshtaki nani... Pamoja na traffic Case judgement ili ukienda kufungua case ya negligence usipate tabu kuprosecute kesi yako...

ila kwa mimi ningemshtaki mwenye Gari deep pocket utapata cha kueleweka
Unachangia hoja vizuri sana ila unamchanganya mno mtoa mada kwa kumtajia latin legal maxims ambazo naamini hazijui, labda hadi a-google.

Yeye ameuliza amshtaki nani? Jibu langu ni hili:

Kwanza hii ni taffic case, mtoa mada hatakiwi kushtaki katika hatua hii kwasababu ni polisi (Jamhuri) ambayo itashtaki kwa niaba ya waathirika wa ajali ambao ni hao vijana.

Kesi ikishasikilizwa Mahakamani hukumu ikatoka, hapo ndiyo muathirika wa ajali anaweza kushtaki ili kupata fidia. Mchoro ndiyo utawafahamisha polisi (Jamhuri) imshtaki nani. Atakayeshtakiwa na Jamhuri kwenye traffic case na kutiwa hatiani ndiye atakayeshtakiwa tena na kijana aliyejeruhiwa. Nasisitiza kwamba anayetakiwa kushtaki ni kijana aliyejeruhiwa; kama kijana huyo ameshafikisha miaka 18, kama bado hajafikisha miaka hiyo basi mtoa mada au mtu mwingine wa karibu ndiyo atashtaki kwa niaba ya huyo kijana kama "next friend" to an injured child, na katika hatua hii, hii itakuwa ni kesi ya MADAI (civil case).

Muathirika wa ajali au mtoa mada (as the case may be), asubiri kwanza traffic case iishe ili atumie hukumu ya traffic case kwenye kesi ya madai (civil case).

NB: Ni lazima Mahakama imtie hatiani atakayeshatiwa na Jamhuri.

Kwa sasa ni hayo tu mkuu. Ila pole sana. Bilashaka kijana wako ni huyo aliyejeruhiwa..
 
Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki) . Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt)

Msaada: katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye gari aliyegonga bodaboda nyuma na kusababisha ajali ya pikipiki?
Obvious kosa ni la dereva wa gari. Huwa hawaheshimu waendesha bodaboda
 
Bila kujali Sababu yoyote Ile kumgonga mtu kwa nyuma tu automatic unakua na kesi ya kujibu
 
Ajishtaki mwenyewe Kwanza Kwa kuruhusu kuhatarisha Maisha ya mtoto wake na kumsabishia madhara Makubwa
Umenena kweli ni very dangerous, lakini it is the order of the day in Tanzania to ferry students to and from school by bodaboda in the middle-income strata of the society we live in.
 
Asante kwa mawazo. sasa nawashitaki nani na nani? Bodaboda na mwenye gari au mwenye gari nikishirikiana nan bodaboda. Insuarance itaingiaje?
Wewe huzhtaki, hiyo ni traffic case, kama ulipata PF3 Na traffic aliepima ajali atafatilia, na kutoa mchoro wa ajali, then utaenda ku clem kwenye campuni ya Bima. Hapo fidia utaipata kutoka Bima
 
Maelezo ya tukio lilivyo tokea na visababishi ndo vita amua .hapa tuta kujibu kihisia tu kwa sababu tume jua Ali gongwa kwa nyuma .sa jeh kama wa mbele aliamua kusimama gafra ..jibu unge lipata police sio hapa.
 
Back
Top Bottom