Kennedy mkude
Member
- Aug 4, 2016
- 8
- 10
Habari wanajamii,
Naomba msaada ili serikali iweze kuwajibika kutokana na changamoto ya Kilwa road kutoka kokoto mpaka vikindu.
Kutokana na ubovu na wembamba/udogo wa hiyo Barabara basi imekuwa ni sehemu hatarishi Kila kukicha.
Usipokuta ajali basi kuna gari limeharibika kitu kinachoweza kupelekea kero na usumbufu Kwa watumiaji wa Barabara hiyo kwani unaweza kuja kukaa kwenye foleni mpaka hata masaa mawili Kwa umbali mdogo kama huo. Pia ajali zimekuwa ni nyingi zinazopelekea vifo.
Wahusika tunaomba mtusaidie katika hili na Mwenyezi Mungu awasimamie katika kuwajibika nalo.