Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,580
Hapo wa kumshtaki ni mnyika, maana amekua katibu wa hovyo sana
Retired nashinda nae jukwaa la sheria nadhan ni msomi mwenzetu nikaona sio shida nikichomekea latin maximUnachangia hoja vizuri sana ila unamchanganya mno mtoa mada kwa kumtajia latin legal maxims ambazo naamini hazijui, labda hadi a-google.
Yeye ameuliza amshtaki nani? Jibu langu ni hili:
Kwanza hii ni taffic case, mtoa mada hatakiwi kushtaki katika hatua hii kwasababu ni polisi ambao watashtaki kwa niaba ya waathirika wa ajali ambao ni hao vijana.
Kesi ikishasikilizwa Mahakamani hukumu ikatoka, hapo ndiyo mtoa mada anaweza kushtaki ili kupata fidia. Mchoro ndiyo utawafahamisha polisi wamshtaki nani. Atakayeshtakiwa na kutiwa hatiani ndiye atakayeshtakiwa tena na kijana aliyejeruhiwa. Nasisitiza kwamba anayetakiwa kushtaki ni kijana aliyejeruhiwa; kama kijana huyo ameshafikisha miaka 18, kama bado hajafikisha miaka hiyo basi mtoa mada au mtu mwingine wa karibu ndiyo atashtaki kwa niaba ya huyo kijana kama "next friend" to an injured child, na katika hatua hii, hii itakuwa ni kesi ya MADAI (civil case).
Mtoa mada asubiri kwanza traffic case iishe ili atumie hukumu ya traffic case kwenye kesi ya madai (civil case).
Kwa sasa ni hayo tu mkuu. Ila pole sana. Bilashaka kijana wako ni huyo aliyejeruhiwa..
Akina mama, sorry kama nitakuwa nimewanenea vibaya ila ndio wenye huu ujasiri hatarishi!!!Umenena kweli ni very dangerous, lakini it is the order of the day in Tanzania to ferry students to and from school by bodaboda in the middle-income strata of the society we live in.
Shukran sanaa nimeitia kabatini..Nimekupata. Kwa faida ya kesho, soma kesi hii
Mh! Unanitia mashaka JF renowned member! Nakuomba usome hii para, just spend your few minutes to go throughAlikubali vipi mshikaki
Ni kweli mshikaki siyo sawa, but kubeba mshikaki hakukusababisha ajali...Novus Actus InterveniensAliyegonga...
Natambua mshikaki sio sawa kisheria lakini haimpi dereva wa gari kugonga.
So kosa lipo kwa mgongaji
as long as ulimgonga nyuma ni kuwa hukuweka umbali ambao kisheria inabidi uwe nyuma ya mwenzako...something like 15 metres??? Kwa umbali huo, hata wa mbele akisimama ghafula huwezi kumgongakama wa mbele aliamua kusimama gafra
Asante sana. nadhani uko sahihi! Lakini it depends on insuarance policy you have with your car. If it is comprehensive it does not matter who is a wrongdoer, you will be indemnified (sina uhakika ngoja nifanye utafiti zaidi, kuna wakati nilikuwa nasikia kitu kama hicho)Bodaboda alivunja sheria kubeba mishikaki ila hiyo haihalalishi yeye kugongwa. Huwezi kuvunja sheria kwa sababu unayemtendea hilo naye kavunja sheria.
Je, mishikaki hiyo ilisababishaje yeye kugongwa? Bodaboda ataadhibiwa kulingana na kosa lake.
Pili, hii ni Traffic case. Lazima mahakama irule out kuonyesha ni nani mwenye makosa. Mkishinda hewala, mtalipwa na Insurance ya gari. Ukishindwa basi huna chako.
Kwa sasa kesi ya Madai huwezi kuifungua. Kwa sababu bado haijajulikana mwenye makosa ni nani.
Tukiachana na hizo shilling ulizotumia wewe kwanza afya ya mtoto ndiyo la muhimu zaidi,upo uwezekano huko aendako atahitaji mahitaji makubwa zaidi yanayohitaji fedha nyingi so lazima kama mzazi ayatetee hayo mazingira mapema.Ndugu yangu HIMARS mtoto ameumia, MRI both for brain and spine is a bit over 1M Tsh bado mengine mengi yaliyokula fedha nyingi. Why not claim damages that are within the law?
asante nimepata mwanga sana
Thanks a lot! Nimkupata vela kabisa. Nitafanya hivyoUnachangia hoja vizuri sana ila unamchanganya mno mtoa mada kwa kumtajia latin legal maxims ambazo naamini hazijui, labda hadi a-google.
Yeye ameuliza amshtaki nani? Jibu langu ni hili:
Kwanza hii ni taffic case, mtoa mada hatakiwi kushtaki katika hatua hii kwasababu ni polisi ambao watashtaki kwa niaba ya waathirika wa ajali ambao ni hao vijana.
Kesi ikishasikilizwa Mahakamani hukumu ikatoka, hapo ndiyo mtoa mada anaweza kushtaki ili kupata fidia. Mchoro ndiyo utawafahamisha polisi wamshtaki nani. Atakayeshtakiwa na kutiwa hatiani ndiye atakayeshtakiwa tena na kijana aliyejeruhiwa. Nasisitiza kwamba anayetakiwa kushtaki ni kijana aliyejeruhiwa; kama kijana huyo ameshafikisha miaka 18, kama bado hajafikisha miaka hiyo basi mtoa mada au mtu mwingine wa karibu ndiyo atashtaki kwa niaba ya huyo kijana kama "next friend" to an injured child, na katika hatua hii, hii itakuwa ni kesi ya MADAI (civil case).
Mtoa mada asubiri kwanza traffic case iishe ili atumie hukumu ya traffic case kwenye kesi ya madai (civil case).
Kwa sasa ni hayo tu mkuu. Ila pole sana. Bilashaka kijana wako ni huyo aliyejeruhiwa..
exactly na ilitokea hivyo. Siyo kuwa ni routine transport ya mtoto! hata hivyo, tunazidiana mifukoni na wanakosoma watoto. Kuna shule ziko je ya mji ambako ukishakatiza barabara kuu, ni vijijini hakuna magari ya kukupa orries na safety ya bodaboda asiwabebe watoto!Tukiachana na hizo shilling ulizotumia wewe kwanza afya ya mtoto ndiyo la muhimu zaidi,upo uwezekano huko aendako atahitaji mahitaji makubwa zaidi yanayohitaji fedha nyingi so lazima kama mzazi ayatetee hayo mazingira mapema.
Na watu humu mpo wengine mna-act as if hamyajui maisha ya kibongo,mtoto kupanda bodaboda huwa inatokea dharura gari ya shule kuharibika au kucheleweshwa kituoni,barabarani foleni na mzazi unataka mwanao asipitwe na masomo,sababu ni nyingi so tujue hakuna mzazi anayependa mwanae aumie lakini pia hakuna mzazi anayependa mwanae achelewe masomo wakati ana uwezo wa Tsh 2,000/=mtoto akawahi masomo.
Kila mtu amepangiwa jaribu lake la mwenzako usimcheke au ukajiona bora sana shukuru halijakukuta na wewe huku ukiomba lisikukute.
asante sana tena sanaResemblence==Resemblance
Ubarikiwe sanaResemblence==Resemblance
Dictionary
Definitions from Oxford Languages · Learn more
resemblance
noun
the state of resembling or being alike.
"they bear some resemblance to Italian figurines"
a way in which two or more things are alike.
"the physical resemblances between humans and apes"
wamekusahihisha wengi maana ulijidai kujua kiingereza...... muulize mama yako kama sijui kiingereza na ni mpumbavuKatika wapumbavu wa 3 niliokutana nao mwaka huu wewe ni wa kwanza, sasa ku edit huzo spelljng kwa ku copy neno lenye maana sahihi kunasaidia nini? Kwamba baadae tuna mthihani wa imla au?
wamekusahihisha wengi maana ulijidai kujua kiingereza...... muulize mama yako kama sijui kiingereza na ni mpumbavu