Naomba msaada katika scenario kama hii ya road accident

kama ni kumshitaki aende segerea, unapoteza muda

kama unataka fidia, bro tafuta pesa
 
huyu hakuwa na pesa?
LEONARD PAUL KISENHA………….....……….. PLAINTIFF
VERSUS
KILIMANJARO TRUCK COMPANY LTD …1ST DEFENDANT
ROLAND SAWAYA…………….…………….2ND DEFENDANT
MJAHID MOHAMED ………………………..3RD DEFENDANT
 
fuata ushauri wa uttoh bro
utamshukuru baadaye
 
Inatakiw ujue Boda aligongwaje? Maana wana mtindo wa kuchomekea na kuingia bila tahadhari.

Kugongwa nyuma si kipimo cha makosa ya Dereva ukizingatia na Maelezo ya ajal utaelewa vzr.
 
Kuna mengi ya kujifunza....
 
Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki). Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt)

Msaada: Katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye gari aliyegonga bodaboda nyuma na kusababisha ajali ya pikipiki?
Pole sn
 
Bodaboda anatakiwa awe na bima ya matukio kama haya. Hivyo unamshitaki bodaboda, ili bima yake ikulipe wewe (3rd party). Yeye atamshitaki aliyemgonga, na atadai hata alichokulipa wewe.
 
asante sana. Kuna mkanganyiko maana wengine wanasema subiri kesi ya polisi iende mahakamani (waliochora ramani) and from there atakayepatikana na kosa ndipo unamshitaki huyo civil case kwa kuegamia hiyo traffic offence case.
 
Pole sana mkuu kwa kuondokewa na kijana wako
Mimi ni maamuma wa sheria hivyo nipo kusoma hoja

Huko juu kwenye comments kuna wakuu wanashindana kingereza🤣
 
Asante sana kwa kujali. Ndivyo JF ilivyo, Matusi, kejeli, ujinga, kutofahamu, stress etc etc. Unavipokea vyote.
 
Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki). Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt)

Msaada: Katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye gari aliyegonga bodaboda nyuma na kusababisha ajali ya pikipiki?
Duh poleni sana saana
 
Back
Top Bottom