Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 586
- 920
Habari zenu, mimi ni mrefu wa sentimeta 183, awali nilipima nikawa na kg 104. Uzito huo ulinitisha nikaamua kuanza mazoezi na kubadili life style. Nimeacha kutumia soda, maana hapo kabla kila siku nilikuwa Lazima ninywe soda/grandmalta, pia nimepunguza kiasi cha ulaji. Jioni huwa nakula matunda tu!
Kila wiki lazima nikimbie mara nne au mara tano ambapo kwa siku nakimbia kilomita 8 hadi kumi! Nimefanya hivyo kwa mwezi mmoja lakn nimepunguza kilo tatu na nusu tu!
Nifanyeje niweze kupungua kwa haraka zaidi?
-------------------++++++++++++-----------
Leo tarehe 13 May nimepima uzito ni kg 97. Nimefurahi maana ni positive change!
Nilipunguza ulaji tena! Mchana nakula nusu ya mlo niliokuwa nakula pale awali, asubuhi nikiamka glass ya maji uvuguvugu na limau! Jioni matunda baada ya kutoka jogging 8-10Km
Hivyo ndani ya miezi mitatu nimedrop kilo 7! Ila ni kwa vumbi na jasho